Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

Biashara ya Kilimo Tanzania hii.
Mazao gani ?
Soko lipo wapi ?

Nilishalima nikakosa soko na nimeacha hiyo shughuli.
Ila napenda sana Kilimo.
 
Nakubali kama hujawahi kufanya transfer au kufanya transfer ya kiwango kikubwa hata PayPal kwa kiasi kama pounds 10,000 ni kikubwa. Hii ni kampuni reliable cha msingi ili uwe na amani kitu cha kwanza ni kumuomba reference za watu walionunua kwao hapa Tanzania uongee nao ikiwezekana kuona hizo tractor na ushauri zaidi. Unaweza pia kumwambia kuwa unataka akupe guarantor aliyeko Tanzania atakayemdhamini kuwa tractor yako itafika bila shida. Mara nyingine pia unaweza kulipa advance na makubaliano tractor itakapopakiwa kwenye meli ukatumia documents utalipa kiasi kilichobaki. Kwa nchi za wenzetu unalindwa na sheria kama kampuni iko registered umepewa invoice fanya malipo kupitia bank kama Barclays au Standard Chartered wana jinsi ya kutuma hela na kuweka maelezo muhimu ya mali unayotaka kununua. Option ya pili, kuna agents wa Kitanzania wanatoza fee huko UK kwa mkataba wataweza kununua hiyo tractor na kuituma mara tu ikiwa kwenye meli unawalipa process za kutoa bandarini na ushuru ni zako na hawahusiki na condition ya tractor.
Asante sana ndugu. Umenipa option nyingi na zenye kuelezekana. Nashukuru nawasiliana nao. Tunaogopa kupoteza hela unajibana kwa miaka.
 
Biashara ya Kilimo Tanzania hii.
Mazao gani ?
Soko lipo wapi ?

Nilishalima nikakosa soko na nimeacha hiyo shughuli.
Ila napenda sana Kilimo.
Hukuwa well informed, ulilima kwa mhemuko baada ya kuwasikiliza motivation speaker. .....
 
Hukuwa well informed, ulilima kwa mhemuko baada ya kuwasikiliza motivation speaker. .....
Ingependeza zaidi tungezungumzia masoko ya mazao ya kilimo.
Kuliko kubaki kuzungumzia namna ya kulima kwa ufanisi.
Haya ndio maoni yangu.
 
Habar mkuu. Unaagiza mtandao gani?
Tractor haiagizwi kwa mtandaoinataka uwe na mtu muaminifu anayeagiza vitu used Canada ndio mnachanga lkn kama unataka tractor nzuri zipo ipo moja nzuri no D milioni 15
 
Tractor haiagizwi kwa mtandaoinataka uwe na mtu muaminifu anayeagiza vitu used Canada ndio mnachanga lkn kama unataka tractor nzuri zipo ipo moja nzuri no D milioni 15
Zinapatikana wapi? Mawasiliano yako au Yao tunapataje
 
ningekuwa dalali nisingewambia watu waende direct kwa wauzaji, mkuu mimi huwezi ni shaweshi hata kidogo kununuwa tena used ukifanikiwa kupita kibaigwa ulizie kijiji kimoja kinaitwa hemba hemba wana trector zaidi ya mia tatu zote ni mpya na ndio kijiji wanatoka wakulima wakubwa wenye mashamba kuanzia kibaigwa hadi kijungu pori kwa pori
Mkuu mimi binafsi ushauri wako umenisaidia sana. Nimemenya Swaraj saafi kabisa 41m kwa Agricom. Inapiga kazi kwa siku sikosi eka 15-20
 
Wadau wa tractors tukutane wasap group tupeane on time support na michongo sometime una shida unakosa msaada wa haraka ukitumia jamii forum pekeee cheki hii link ujiunge Wadau wa tractors bongo
 
Personally nimepata hasara kubwa recently kutokana kukosa uzoefu na madereva wasio na ujuzi wa kutosha na supplier asie jali wateja huez amini trekta mpya case 75hp imekata ring within miezi 10 tu ndo mana nkaomba wadau tukae wasap group tupeane maujanja ht kama hatujuani kuna mambo ya kuokoana link ni Wadau wa tractors bongo
 
Ndugu wakulima wenzangu tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa.

Tununue matrekta mapya, ambayo gharama zake za uendeshaji zipo chini sana , utumiaji wa mafuta, gharama za spea, Piya hayo matrecta used bei zake zinakaribiana na bei ya trekta jipya.
Trekta zipi? Brand gani? Bei gani? Yako wapi? Mawasiliano ya kuyapata?
 
Ndugu wakulima wenzangu tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa.

Tununue matrekta mapya, ambayo gharama zake za uendeshaji zipo chini sana , utumiaji wa mafuta, gharama za spea, Piya hayo matrecta used bei zake zinakaribiana na bei ya trekta jipya.
Uzi umekaa Kimchongo Mchongo,haujashiba.
 
Mkuu Kiogwe mimi sio dalali ni mkulima hivi kweli mtu mzima na akili zake auziwe trekta useed milioni 20, wakati anaweza pata trekta mpya kwa bei hiyo hiyo tena akakopeshwa na kulipa kwa miaka mitatu hizo massey fergusion zina matatizo ya hydraulic repair kit, hydraulic pump, angalia kitu cha SWARAJI NI WASTANI WA EKARI 30 KWA MASAA KUMI NA MBILI TU, NEW HOLLAND NI EKARI 35 KWA MASAA KUMI NA MBILI, FARM TRAC NI EKARI 25 KWA MASAA KUMI NA MBILI, KUBOTA NI EKARI 30 KWA MASAA KUMI NA MBILI, TAFFE NI EKARI 26 KWA MASAA KUMI NA MBILI, CASE NI EKARI 30 KWA MASAA KUMI NA MBILI UWEZO WA KULIMA KWA TREKTA
Wapi wanakopesha mkuu na malipo yakoje pamoja na dhamana?
 
Personally nimepata hasara kubwa recently kutokana kukosa uzoefu na madereva wasio na ujuzi wa kutosha na supplier asie jali wateja huez amini trekta mpya case 75hp imekata ring within miezi 10 tu ndo mana nkaomba wadau tukae wasap group tupeane maujanja ht kama hatujuani kuna mambo ya kuokoana link ni Wadau wa tractors bongo
Beautiful idea
 
Mkulima kuna vitu vingine ni vya Uongo, Trekta mpya ukizitumia masaa mengi hivyo zitadumu kwa muda mchache Sana, Lakini used zitaendelea kudunda tu.
 
Mkuu mimi nazani kuna kitu unatuficha wewe ni dalari wa matractor hayo unayoita mapya japo yote ni fake yani kulinganisha tractor used na Tafe kubota au Case kiutendaji kimatumizi hata kimaslahi kwa mkulima ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi faida ya hayo matractor mapya ni kuwa unakopeshwa japo kulipa nayo ni tabu kiukweli haziwezi kazi sana mimi huu msimu wa ufuta nimepeleka moja tu 290 used inapakia ufuta viroba 120 au 80 za mahindi au mbao za 2 by 10 futi 10 napakia 150 bila shida huo mzigo hakuna new Holland inayonyanyuka nao ninazo huko polini haziwezi.subiri kuna order ya ekari elfu 2 naivizia nikiipata ntakwambia uje uone vyuma used zinapigaga ekari 120 ndani ya masaa 24 kila tractor nimeajiri ma operator 2
New Holland na nduguze ni Pawa tila iliyochangamka.
 
Back
Top Bottom