Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

Mkuu Mkulima2010 km hujui vitu kaa kimya au uliza mimi Jf imenisaidia sana maisha yangu hasa jukwaa hili nimejiajiri kutokana na ushauri nilioupata kutokana na mawazo ya watu sijawahi kukurupuka kuanzisha uzi.usipotoshe watu mkuu mimi ninayo matractor mapya na used kwa ufupi tu massey 385 mpya (hizi zilishachakachuliwa zinatoka Pakistan) haiwezi kumaliza masaa 24 ikikaribia kufikisha masaa 20 inabadili mlio na ingine inapoteza nguvu inabidi uipumzishe wkt massey 290 used inamaliza masaa 24 bila tatizo.wahindi wapakistan na wachina wameleta matractor mabovu sana kuweni makini ktk kuchagua hayo matractor mapya mimi nilipewa somo zuri na jamaa zangu wauzaji maana nina marafiki wanauza matractor mapya na used used ukichagua vzr ni bora zaidi mara mia kuliko hizi mpya zao feki

Masaa 24 ya kufanya kazi?
 
Mkuu mimi nazani kuna kitu unatuficha wewe ni dalari wa matractor hayo unayoita mapya japo yote ni fake yani kulinganisha tractor used na Tafe kubota au Case kiutendaji kimatumizi hata kimaslahi kwa mkulima ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi faida ya hayo matractor mapya ni kuwa unakopeshwa japo kulipa nayo ni tabu kiukweli haziwezi kazi sana mimi huu msimu wa ufuta nimepeleka moja tu 290 used inapakia ufuta viroba 120 au 80 za mahindi au mbao za 2 by 10 futi 10 napakia 150 bila shida huo mzigo hakuna new Holland inayonyanyuka nao ninazo huko polini haziwezi.subiri kuna order ya ekari elfu 2 naivizia nikiipata ntakwambia uje uone vyuma used zinapigaga ekari 120 ndani ya masaa 24 kila tractor nimeajiri ma operator 2

Mkuu used unaagiza wapi na gharama ikoje???
 
Mkuu Mkulima2010 km hujui vitu kaa kimya au uliza mimi Jf imenisaidia sana maisha yangu hasa jukwaa hili nimejiajiri kutokana na ushauri nilioupata kutokana na mawazo ya watu sijawahi kukurupuka kuanzisha uzi.usipotoshe watu mkuu mimi ninayo matractor mapya na used kwa ufupi tu massey 385 mpya (hizi zilishachakachuliwa zinatoka Pakistan) haiwezi kumaliza masaa 24 ikikaribia kufikisha masaa 20 inabadili mlio na ingine inapoteza nguvu inabidi uipumzishe wkt massey 290 used inamaliza masaa 24 bila tatizo.wahindi wapakistan na wachina wameleta matractor mabovu sana kuweni makini ktk kuchagua hayo matractor mapya mimi nilipewa somo zuri na jamaa zangu wauzaji maana nina marafiki wanauza matractor mapya na used used ukichagua vzr ni bora zaidi mara mia kuliko hizi mpya zao feki
How much hiyo used mpaka inaanza kupiga kazi?
 
Masaa 24 ya kufanya kazi?

Ndio mkuu matractor yangu huwa yanafanya kazi mashaa 24 ila zingatia sana oil mm huwa napenda kutumia oil ya total na hiyo masaa 24 ina maana ukiwa na order kubwa unajua kuna baadhi ya vijiji huwa wanajiorodhesha sasa ili kupunguza foleni unapiga inaweza
 
How much hiyo used mpaka inaanza kupiga kazi?

Used unatafuta tu zipo nyingi Mkuu na ukishainunua ili ikulipe vzr unaifanyia service kabla ya kazi kuna oil seal mafundi wenyewe wanajua unabadili zote.kwa uzoefu wangu tractor used inakulipa mwaka mmoja tu hera yako inarudi.used kwa hapa bongo hii ya mwisho nilichukua kwa 21 M.ila zipo nyingi ukiagiza unapata rahisi zaidi kilimo kinalipa sana mkuu
 
Same to me,maana nilipita maonesho ya 7/7 bado trekta si la mkulimq bei juu sana

Tatizo ni kwamba neno mkulima hapa Tanzania humaanisha mtu yeyote mwenye kulima shamba na kupata mavuno hata kama atalima robo ekari. Tulio wengi ni peasants siyo farmers, and these are different. A farmer will have no problem in acquiring several of those high-priced tractors out there, a peasant can manage a hand hoe or with a lot of difficulties, a power tiller.
 
Small Holder farmers
 
Used unatafuta tu zipo nyingi Mkuu na ukishainunua ili ikulipe vzr unaifanyia service kabla ya kazi kuna oil seal mafundi wenyewe wanajua unabadili zote.kwa uzoefu wangu tractor used inakulipa mwaka mmoja tu hera yako inarudi.used kwa hapa bongo hii ya mwisho nilichukua kwa 21 M.ila zipo nyingi ukiagiza unapata rahisi zaidi kilimo kinalipa sana mkuu
Hapa Bongo yards zinazouza used zipo wapi? Kwenye mitandao nimepitapita na kuona tractor used na bei zake ni reasonable na kuna mdau yupo Uk nae aliwahi kunipa link hapa. All in all napenda kujua how can I get it?

Naamini Kilimo kinalipa na huko porini naona matrekta yanavyokua potential,binafsi ukiniwekea trekta na Eicher basi nachagua Tractor
 
Hapa Bongo yards zinazouza used zipo wapi?kwenye mitandao nimepitapita na kuona tractor used na bei zake ni reasonable,na kuna mdau yupo Uk nae aliwahi kunipa link hapa.All in all napenda kujua how can I get it?Naamini Kilimo kinalipa na huko porini naona matrekta yanavyokua potential,binafsi ukiniwekea trekta na Eicher basi nachagua Tractor

Mkuu kwa yard Dar sijaziona ila hawa watu wanaozileta nimegundua huwa wanazileta ktk ma container wanachanganya na vitu vingine used kwa hiyo kuipata inabidi uulizie pitia kwa wauzaji wa haya mapya wambie nina shida na tractor used wanakuwa wanajua wanaoingiza used na ndio huwa wanawatafutia wateja ni km madalari flan ila km hujamiliki tractor anza na massey servise yake ni rahisi spare kila kona zimejaa na bei rahisi pia
 
Ok, replace 'peasants' by small Holder farmers...
but it won't make it easy for us to acquire a new heavy-duty tractor, by the way.
Yeah Utotole ila sasa tuanzie hapa, watu wana passion ya kilimo tena sana tu,je tunafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa yard Dar sijaziona ila hawa watu wanaozileta nimegundua huwa wanazileta ktk ma container wanachanganya na vitu vingine used kwa hiyo kuipata inabidi uulizie pitia kwa wauzaji wa haya mapya wambie nina shida na tractor used wanakuwa wanajua wanaoingiza used na ndio huwa wanawatafutia wateja ni km madalari flan ila km hujamiliki tractor anza na massey servise yake ni rahisi spare kila kona zimejaa na bei rahisi pia
@kiogwe nna passion sana na hii makitu,ila nahangaika na mtaji wa kununua dubwasha moja,pia ntaangalia na kwenye website za huko ughaibuni huenda nitabahatisha my plan end of 2015 nilipate In shaa Allah
 
Yeah Utotole ila sasa tuanzie hapa, watu wana passion ya kilimo tena sana tu,je tunafanyaje?

Mimi pia naamini ipo siku nitakuwa mkulima. Tatizo kubwa la nchi yetu tumekuwa nchi ya watumiaji na si wazalishaji, ndiyo maana hata farm machinery zinakuwa so damn expensive. Kila kitu tunategemea toka nje ya nchi hata kama kitu kidogo.
 
Kweli kabisa,me najihusisha na KILIMO ila kinachonikera ni hicho.Gharama za vifaa vya KILIMO
 
@kiogwe nna passion sana na hii makitu,ila nahangaika na mtaji wa kununua dubwasha moja,pia ntaangalia na kwenye website za huko ughaibuni huenda nitabahatisha my plan end of 2015 nilipate In shaa Allah

Ukipata connection ya mtu wa nje hasa Canada nasikia ni rahisi sn mm nilikosa mtu ila Mungu atakujalia Mkuu mimi mawazo ya kilimo niliyapata humuhumu jukwaani Mungu amjalie MERO nilikuwa nina ndoto sana za kujiajiri kila siku nilikuwa sikosi kuingia jukwaa la biashara na ujasiliamari namshukuru Mungu nikazichanga nikanunua moja nikachongea na trailer yake nikaongeza na ingine hivi tu nilitaka niongeze ingine tena ila kusomba kumeniangusha wakulima wamegomea bei ya ufuta ni ndogo haijafanya kazi sana nimeisimamisha naziandaa kwa kilimo Ukiweka nia utapata Mkuu muweke Mungu mbele
 
mkuu mimi nazani kuna kitu unatuficha wewe ni dalari wa matractor hayo unayoita mapya japo yote ni fake yani kulinganisha tractor used na tafe kubota au case kiutendaji kimatumizi hata kimaslahi kwa mkulima ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi faida ya hayo matractor mapya ni kuwa unakopeshwa japo kulipa nayo ni tabu kiukweli haziwezi kazi sana mimi huu msimu wa ufuta nimepeleka moja tu 290 used inapakia ufuta viroba 120 au 80 za mahindi au mbao za 2 by 10 futi 10 napakia 150 bila shida huo mzigo hakuna new holland inayonyanyuka nao ninazo huko polini haziwezi.subiri kuna order ya ekari elfu 2 naivizia nikiipata ntakwambia uje uone vyuma used zinapigaga ekari 120 ndani ya masaa 24 kila tractor nimeajiri ma operator 2
Ningekuwa dalali nisingewambia watu waende direct kwa wauzaji, mkuu mimi huwezi ni shaweshi hata kidogo kununuwa tena used ukifanikiwa kupita kibaigwa ulizie kijiji kimoja kinaitwa hemba hemba wana trector zaidi ya mia tatu zote ni mpya na ndio kijiji wanatoka wakulima wakubwa wenye mashamba kuanzia kibaigwa hadi kijungu pori kwa pori
 
Ukipata connection ya mtu wa nje hasa Canada nasikia ni rahisi sn mm nilikosa mtu ila Mungu atakujalia Mkuu mimi mawazo ya kilimo niliyapata humuhumu jukwaani Mungu amjalie MERO nilikuwa nina ndoto sana za kujiajiri kila siku nilikuwa sikosi kuingia jukwaa la biashara na ujasiliamari namshukuru Mungu nikazichanga nikanunua moja nikachongea na trailer yake nikaongeza na ingine hivi tu nilitaka niongeze ingine tena ila kusomba kumeniangusha wakulima wamegomea bei ya ufuta ni ndogo haijafanya kazi sana nimeisimamisha naziandaa kwa kilimo Ukiweka nia utapata Mkuu muweke Mungu mbele
Yeah ufuta mwaka huu ni majanga.....nimelima kwanza mavuno mabaya na bei mpaka naondoka porini haijafika buku 2.Ila asante sana kwa ushauri wako mdau,kuna web(siikumbuki) ya CANADA nilichek yapo matrekta ya bei rahisi na ni mazuri tu,ngoja nikusanye pesa
 
Watu tumezidi sana kulalamika tumekuwa wagumu kukamata fursa suma jkt matrector ya mwanzo walikuwa wanatoa kwa masharti nafuu sana ulikuwa ukitoa 6milioni unapewa farm trak horse power 75 (hiyo ni sawa na ford 6610) ukitoa milioni 9milioni unapewa new holland ambayo teknologia yake ni fiat ya italy na ford hii ni trector lenye speed sana shambani, mwanzoni suma jkt walikuwa hawajajipanga na hakuwa na masharti magumu. Ila awamu hii wamekuja na mashrti mengi sana na ni magumu. Wale wa mwanzo walipewa kwa mkataba wa miaka 4 ndio walipe.
 
Tatizo lenu wengi wenu hamjue chochote kwenye kilimo ndio maana mnakuwa wabishi kuelewa NAWASHAURI MFANYE TAFITI JAPO NDOGO ELI MUWE NA HAKI YA KUONGEA MFANO HAPO KIBAIGWA SIO MBALI SUNDAY MOJA UNAWEZA KWENDA ASUBUHI JIONI UKARUDI UPATE KUONA HUKO KWENYE FIELD KUKOJEE UNAENDA KWENYE SOKO LA MAHINDI ALAFU UANGALIA NA WAULIZE MASWALI WAKULIMA MAANA KWA KUPEANA HADITHI HATUTOFIKA
 
Back
Top Bottom