Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Mkuu Mkulima2010 km hujui vitu kaa kimya au uliza mimi Jf imenisaidia sana maisha yangu hasa jukwaa hili nimejiajiri kutokana na ushauri nilioupata kutokana na mawazo ya watu sijawahi kukurupuka kuanzisha uzi.usipotoshe watu mkuu mimi ninayo matractor mapya na used kwa ufupi tu massey 385 mpya (hizi zilishachakachuliwa zinatoka Pakistan) haiwezi kumaliza masaa 24 ikikaribia kufikisha masaa 20 inabadili mlio na ingine inapoteza nguvu inabidi uipumzishe wkt massey 290 used inamaliza masaa 24 bila tatizo.wahindi wapakistan na wachina wameleta matractor mabovu sana kuweni makini ktk kuchagua hayo matractor mapya mimi nilipewa somo zuri na jamaa zangu wauzaji maana nina marafiki wanauza matractor mapya na used used ukichagua vzr ni bora zaidi mara mia kuliko hizi mpya zao feki
Masaa 24 ya kufanya kazi?