Tuondokane na kununua Matrekta used kwa bei kubwa yanayokaribiana na bei ya trekta jipya

Biashara ya Kilimo Tanzania hii.
Mazao gani ?
Soko lipo wapi ?

Nilishalima nikakosa soko na nimeacha hiyo shughuli.
Ila napenda sana Kilimo.
 
Asante sana ndugu. Umenipa option nyingi na zenye kuelezekana. Nashukuru nawasiliana nao. Tunaogopa kupoteza hela unajibana kwa miaka.
 
Biashara ya Kilimo Tanzania hii.
Mazao gani ?
Soko lipo wapi ?

Nilishalima nikakosa soko na nimeacha hiyo shughuli.
Ila napenda sana Kilimo.
Hukuwa well informed, ulilima kwa mhemuko baada ya kuwasikiliza motivation speaker. .....
 
Hukuwa well informed, ulilima kwa mhemuko baada ya kuwasikiliza motivation speaker. .....
Ingependeza zaidi tungezungumzia masoko ya mazao ya kilimo.
Kuliko kubaki kuzungumzia namna ya kulima kwa ufanisi.
Haya ndio maoni yangu.
 
Habar mkuu. Unaagiza mtandao gani?
Tractor haiagizwi kwa mtandaoinataka uwe na mtu muaminifu anayeagiza vitu used Canada ndio mnachanga lkn kama unataka tractor nzuri zipo ipo moja nzuri no D milioni 15
 
Tractor haiagizwi kwa mtandaoinataka uwe na mtu muaminifu anayeagiza vitu used Canada ndio mnachanga lkn kama unataka tractor nzuri zipo ipo moja nzuri no D milioni 15
Zinapatikana wapi? Mawasiliano yako au Yao tunapataje
 
Mkuu mimi binafsi ushauri wako umenisaidia sana. Nimemenya Swaraj saafi kabisa 41m kwa Agricom. Inapiga kazi kwa siku sikosi eka 15-20
 
Wadau wa tractors tukutane wasap group tupeane on time support na michongo sometime una shida unakosa msaada wa haraka ukitumia jamii forum pekeee cheki hii link ujiunge Wadau wa tractors bongo
 
Personally nimepata hasara kubwa recently kutokana kukosa uzoefu na madereva wasio na ujuzi wa kutosha na supplier asie jali wateja huez amini trekta mpya case 75hp imekata ring within miezi 10 tu ndo mana nkaomba wadau tukae wasap group tupeane maujanja ht kama hatujuani kuna mambo ya kuokoana link ni Wadau wa tractors bongo
 
Trekta zipi? Brand gani? Bei gani? Yako wapi? Mawasiliano ya kuyapata?
 
Uzi umekaa Kimchongo Mchongo,haujashiba.
 
Wapi wanakopesha mkuu na malipo yakoje pamoja na dhamana?
 
Beautiful idea
 
Mkulima kuna vitu vingine ni vya Uongo, Trekta mpya ukizitumia masaa mengi hivyo zitadumu kwa muda mchache Sana, Lakini used zitaendelea kudunda tu.
 
New Holland na nduguze ni Pawa tila iliyochangamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…