Gentleman,Hilo bwawa lilifunguliwa kisiasa lakini halikuwa tayari kuanza kazi. Toka umeme umeanza kutumika wa hilo bwawa mara kwa mara umeme umekuwa ukikatika, na hauko stable kabisa. Tukiingia kwenye maandamano keshokutwa ndio akili zitawakaa sawa.
😅😅😅😅 hahah!Unawaonea tu, kipi ambacho walishakifanya kwa usahihi?
UDUGU bila uwezo; wameishia kugeuzageuzakalemani yupo pale, wakamuulize waliwezaje
mkuu ilipaswa serikali yote iwajibike kwa mambo mengi mabaya yalio tokea na yanayo tokea chini yao!kama taifa inabidi tuanzie hapo, mindset ya uwajibikaji ni muhimu kwa ustawi na maendeleo ya taifa
Sasa uwajibikaji hapo unakuta waziri hana kosa. Hili lipo nje ya uwezo wakeNchi haina uwajibikaji hii, yaani mtu avurunde kama hivi kesho aandike barua ya ku-step down kwa sababu ya umeme kukatika nchi nzima, wakati huyo mtu hana plan B kwenye maisha yake!!
Sahau hilo, hakuna accountability, hakuna majibu kwenye situation za namna hii, itapigwa kimya, hata aliyeiba kura atapiga kimya na its business as usual
Viongozi wako bize na chademaIfike mahali tuanze kuona uwajibikaji nchini kwenye mambo ya aibu kama haya ya National blackout concerning umeme wa gridi ya taifa. Emergency response system ya matatizo ya kimiundombinu kama haya yaliyotokea ilipaswa iwepo. Hatuwezi nchi nzima tukakaa saa 3 bila umeme na watu wapo tu maofisini.
Tuanze kuona assessment ya athari ya hii national blackout ikiwekwa wazi na pia hapo Tanesco kujumlisha na wizara ya Nishati, watu waanze kuwajibika. Huwezi kukuta nchi zinazoendelea zikivumilia mambo kama haya.
Vulnerabilities ni nyingi kwenye jambo kama hili. Security wise hatuko safe, Economic wise kuna production inapungua na mifumo mbali mbali ya pesa haifanyi kazi vizuri bila umeme. Socially, jamii inakaa in distress.
Waziri na katibu mkuu kama vipi wapumzike.
CUT THE BULSHIT MAN, And you think this is an excuse?....ivi ukiwa CCM kichwani kunakuwa na kitu gani ?...Ushajiuliza kwanini technical fault kama hiyo haiwez kutokea CHINA?..Okay imeshatokea, what was it exactly ?...Tunatoka tujue the technicality ya Tatizo ili watu wanaoweza hayo mambo waweze kushauri nini kifanyike ili jambo kama hili lisitokee tena, sababu it seems like watu wengi ambao, wako kwenye hizo system za kazi walipewa kazi kindugu na hawakofiti kufanya kazi zao, ila wengi ambao wako nje ya mifumo ndio wataalam ila sababu hawana connections hawana kazi...Yan ni upuuzi tu, watu wangapi wameathirika ? How are they going to be covered ? Is there even a plan ?...This country has a lot of mudafakaz...WAKE UP MAN THIS IS 21ST CENTURY..Gentleman,
it's just a technical fault na hakuna wa kupumzika. The respective institution officers are working hard to make it sorted in a very near time to come 🐒
Unadhani uwajibikaji ni hadi uharibu wewe mkuu? Kuna wakati watendaji wako wakiharibu manake wewe ndio umeharibu, wewe si ndio boss wao! Umeshindwa kusimamia kazi, uondoke aje anayeweza.Sasa uwajibikaji hapo unakuta waziri hana kosa. Hili lipo nje ya uwezo wake