Tuone Uwajibikaji Kwenye hii National Blackout

uwajibikaji ni kupambana kushughulikia tatizo, kukimbia tatizo is just nonsense gentleman.

dunia nzima ilikosa internet kwasababu ya technical issue, we unazungumzia china tu?

USA mifumo ya kifedha iliingiliwa dunia nzima ikaathirika uliskia wapi kuna nonsense ya kuwajibika?

kuwajibika ni kushughulikia changamoto na sio hizo ngonjera na mipasho unabwabwaja hapo πŸ’
 
Hii sii kwa tz,iwapo ipo radhi kupora chaguzi,uwajibikaji unatoka wapi,maana yake ruksa kwa ukoo wa kambale mjukuu hadi kitukuu kufuga ndevu.
 
Gentleman,
it's just a technical fault na hakuna wa kupumzika. The respective institution officers are working hard to make it sorted in a very near time to come πŸ’
Ama uwajibike wewe Tilalila kwa niaba yao wote kwa kazi nzuri waifanyayo?
 
Ama uwajibike wewe Tilalila kwa niaba yao wote kwa kazi nzuri waifanyayo?
Gentleman,
nikiwa humu jukwaani, kuwajibika kuchapa kazi ya kueleza ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu bila kukimbia changamoto yoyote ile πŸ’
 
We jamaa bwana, Yan inaonekana umesoma shule lakin unachoniudhigi Mimi unaongoza kwa kutetea ujinga , kwanini mkuu ? Hivi Hawa madogo mnataka wakue na reference zenu Mzee ? Unakosea Hawa madogo....wafundisheni kulia wakiwa na huzuni, wafundisheni kusema ukweli hata kama Dunia nzima ikiwapinga. Kaka ujue Mimi sio hater lakin mwanangu wewe you are good at spinning, unaniundhi sana sometime. Wasomi wetu mnafelisha movement wazee.
 
sasa gentleman,
ikiwa mimi natetea ujinga, na wewe si utetee uerevu na tuone huo uerevu wako unaotetea? mbona mihemko jukwaani huku ukiwa pointless?

kwamba tuwafindishe watoto wetu namna ya kukimbia changamoto na matatizo, right?

Na kwamba tuwafindishe watoto wetu kua uongozi ni kuvaa suti nzuri, kua na gari zuri, kunywa chai na kusoma magazeti na sio kutatua changamoto au matatizo yaliyopo na yatakayotokea, right?

That can not be me, wafundisheni wenenu hivyo, but sio mimi gentleman. Tena muwafundishe hata umeme ukiisha au ukikatika kwasababu yoyote ile wawajibike kwa kuziacha familia na nyumba zao, sindio gentleman?πŸ’
 
Niko na ishues right now, ila tutaendelea keshoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…