EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #121
Aaaah jamaa si umwambie aende JNCC kuna wifi na pssd anaomba na anapewa free ila wanafunzi wa IFM ndik waliharibu walikuwa wanashinda pale nje[emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto mzuri kama wewe huwezi shindwa ku-update kama ni hela ya bando nikutumie vocha PM kwako, jitahidi iwe updated kuna faida nyingi simu ikiwa update mrembo.
View attachment 1999141