Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

Tuoneshe your phone HOME PAGE tuone your FAVORITE APPS

Ni professional networking platform... Inasaidia kupata connection za kaz kirahisi as makampuni yanatangaza kazi pia kwa watu binafsi unapata kujifunza kuhusu mambo mengi kuimprove profession/career yako.

Mwenye uelewa zaid anaweza elezea...
Unaweza jiunga ni nzuri
Yaan inatakiwa ujaze taarifa za kweli au?
 
Yaan inatakiwa ujaze taarifa za kweli au?
Yeap kule ni details za ukwel ila zinazohusu elimu/kazi + picha yako pia sio mbaya.

Umakini pia unahitajika maana sio wote utakaokutana nao wana nia njema kule.
 
Yeap kule ni details za ukwel ila zinazohusu elimu/kazi + picha yako pia sio mbaya.

Umakini pia unahitajika maana sio wote utakaokutana nao wana nia njema kule.
Yaan hadi picha yako halisi? Hii app itanishinda kwakweli, yaan picha yangu niweke kule mmmh
 
Yaan hadi picha yako halisi? Hii app itanishinda kwakweli, yaan picha yangu niweke kule mmmh
It's a professional networking platform, nothing else... So yes picha zinahusika pia but sio lazima.
 
Screenshot_20211114-182525.png
Screenshot_20211114-182710.png
 
Back
Top Bottom