TUONGEE KIUME: Neno mwanamume linavyotuumiza wanaume

TUONGEE KIUME: Neno mwanamume linavyotuumiza wanaume

Ni kweli mwanaume hadeki
mwanaume ni kama mtoto wa yatima hachagui chakula.
Mwanaume ni kama mfungwa hachagui gereza.
Mwanaume ni kama mdaiwa sugu, mawazo kila saa namna ya kukwepa wadeni.
Mwanaume ni kama mlinzi, usiku unalala kwa kuibia kulinda nyumba.
Mwanaume ndio mfano wa uvumilivu, ata ukipoteza unaimani kesho utapata tena.
Kuwa mwanaume sio kazi rahisi ni mchakato...najivunia kuwa mwanaume.
 
Back
Top Bottom