Tuongee kuhusu Teuzi za viongozi

Tuongee kuhusu Teuzi za viongozi

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Serikali ni taasisi ambayo inaundwa au wenye muunganiko wa watu wenye lengo/dhumuni la kutoa huduma kwa wananchi (wao),serikali kama taasisi hua inakawaida ya kujenga misingi imara ya kikanuni na sheria kwa minasaba ya kuhimili/kudhibiti tabia,hali/situational au maamuzi.

Teuzi ni mchakato wa utafutaji na upitishaji wa sifa,uzoefu na tabia ambao kwa pamoja unakuwa ndani ya chombo kimoja (binadamu)wenye matarajio kuwa hizo sifa,tabia na uzoefu kuwa utaenda kuisaidia serikali katika kutatua changamoto za kiutendaji kuwafikia wananchi kwa wepesi na unafuu.

Sijui kuhusu michakato ya uteuzi inavyofanyika katika nchi za wenzetu ukilinganisha na kwetu,ila natambua kuwa zipo tabia ambazo zinaweza kufanya disqualification ya selection kama vile wizi,ujambazi,uzembe na mengineyo kibao..labda kwa anaejua michakato hii ya uteuzi inavyofanyika,inapopita na mpaka kumfikia mlengwa inakuwaje?

serikali haifikii malengo yake;

Je,Makosa ni ya anayeteua?
Je,Wizi na utendaji mbavu makosa ni mteuzi?
Katiba inasemaje kuhusu opponents kwenye kujenga serikali?
 
Hizi mada za uteuzi mbona zimezidi, kuna mkeka umetolewa mpya au unategemewa kutolewa?
 
Mimi naomba niulize hivi mtu kuweza kuteuliza kwenye nafasi zifutatazo ni vigezo vipi vinazingatiwa na mamlaka ya uteuzi ni ipi?
1. DC
2. RC
3. DEO
4. REO
5. DED/ MED
6. RMO
7. DMO
 
Back
Top Bottom