PreGE2025 Tuongee uhalisia: CHADEMA wanaweza zuia uchaguzi kweli? Mrema yupo sahihi. Lissu ashauriwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Lakasa chika7

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
510
Reaction score
1,337
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe waoga.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwenyekiti wenu aliwekwa korongoni ila watu waliokuwa wanatokea mahakama hawafiki hata 100..leo mtazuia uchaguzi..

Lissu ni insane.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?

Hivi Lissu yupo vizuri kweli kichwani.

Afu mtu akiwa against basi anatumika...haifai kabsa.
 

Hakuna mtu anayeweza kuzuia uchaguzi usifanyike.

No election ni ujuha.

G55 wana hoja wasikilizwe.
 
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass..watanzania wenyewe waoga.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi lissu yupo vizuri kweli kichwani. Ushauri ulitolewa awaunganishe yeye ndiyo anawagawa zaidi.
Lissu ni mjuaji sana.
 
Asuse Tu Vyama Vipo vingi

Uzuri Chama kimoja akiwezi zuia matakwa ya katiba
 
 
Hana jeuri hiyo uchaguzi uko pale pale tena atalia na kusaga meno
 
Dhana ya kuzuia uchaguzi ni subjective
 
G55 wanatakiwa watulie waone namna utakavyozuiliwa
 
Sasa kama washauri wake wakuu ni lema na maria sarungi unategemea nini?

Wataanzaje kuzuia uchaguzi?

Mtanzania gani atakubali kuandamanishwa na Lema,ambao kwanza familia zao zipo nje,yani uipeleke familia yako nje ya nchi alafu uje uniambie nikaandamane 😀

Wao wenyewe wanajua hicho kitu hakiwezekani,wanajaribu kutishia ili waitwe mezani lakini wapi,ngoja wamalize hio mikutano yao huko na hela za Tone tone 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…