"Bila kuzaliwa mara ya pili huwezi kuingia mbinguni'
Jamaa akauliza Ina maaana inabidi niingie tena tumboni kwa mama!
Kwani kinachowakela, ccm ni nini,si mfanye uchaguzi wenyewe!kwanini mnataka chadema ishiriki, chadema imegoma kushiriki, hii ilibidi iwe mziki mtamu kwa ccm, wapite bila kupingwa! Lakini inawakela kuona chadema, inagomea uchaguzi!
Ikitokea, uchaguzi, ukafanyika, na ccm tu Wakashiriki, bila wapinzani, zile kamati za bunge zitaongozwa na nani?kisheria lazima ziongozwe na wa bunge kutoka chama ki kubwa cha upinzani! Sasa, kama chama cha, upinzani hakishiriki, ni dilemma kwa, ccm,