PreGE2025 Tuongee uhalisia: CHADEMA wanaweza zuia uchaguzi kweli? Mrema yupo sahihi. Lissu ashauriwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
No reform no reaction ni ujinga ujinga tu
 
mimi mwenyewe kwa mazingira haya sipigi kura, unaweka kura yako moja, jamaa anakuja na begi la kura! ina maana gani hiyo kura yangu sasa?
Kura yako inakuwa Haina uzito, ndo maana hawaheshimu wananchi wanawaona kama midoli
 
imefelije wakati mikutano ya hadhara inaendelea?

TOne TOne imefeli mkuu ,watu walio ndani ya CDM wamesema hivyo ,John Mrema ,Yericko Nyerere wote wamesema kwamba Tone Tone imefeli ,wewe mwenzangu na mimi unabisha?
 
Mrema na Yericko ni nani katika CDM mpya ya TAL?
 
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe waoga.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwenyekiti wenu aliwekwa korongoni ila watu waliokuwa wanatokea mahakama hawafiki hata 100..leo mtazuia uchaguzi..

Lissu ni insane.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?

Hivi Lissu yupo vizuri kweli kichwani.

Afu mtu akiwa against basi anatumika...haifai kabsa.
Ni hivi, hata kama hawezi kuzuia uchaguzi ni lazima ifanyike jitihada ya kuonyesha kuwa uchaguzi haufai. Hii inatakiwa ifahamike kitaifa na kimataifa. Kama uchaguzi hauna heshima, lazima hiyo iwekwe wazi na wafahamike wanachafua chaguzi zetu.

Hao akina Mrema muda wote Mbowe akiwa mwenyekiti alikuwa anapewa ushirikiano wa maamuzi ya chama, hakuna popote wote walikubaliana na maamuzi yake, lakini walitii uamuzi wa chama. Mfano, Lisu ama Mnyika hawakukubaliana na ujio wa Lowassa ndani ya cdm, lakini waliheshimu maamuzi ya chama na hawakuitisha press popote. Slaa hakukubaliana na uamuzi wa chama, na akaitisha press, lakini aliondoka chamani, hawa utopolo wa G55 wanangoja nini kama hawakubaliani na maamuzi ya chama? Au kwakuwa Mbowe kakosa ulaji, na wao ulaji wao umepotea?
 
TOne TOne imefeli mkuu ,watu walio ndani ya CDM wamesema hivyo ,John Mrema ,Yericko Nyerere wote wamesema kwamba Tone Tone imefeli ,wewe mwenzangu na mimi unabisha?
Hata ikifeli, bado shughuli za chama zinaendelea. John Mrema na Yerricko wanakihujumu chama, unategemea waseme tofauti na matamanio yao?
 
Mrema na Yericko ni nani katika CDM mpya ya TAL?

Walikuwepo Kwenye ngazi za uongozi za chama ,hivyo wanapata info za ndani kuliko mimi na wewe.

Wao wamepewa taarifa kwamba Tone Tone imefeli na ndiyo maana ile ahadi ya kuwatangaza kila week mapato imeyeyuka.....Mkitaka kujenga chama kubalini kuambiwa ukweli kama mnavyowaambia CCM na serikali yake.
 
kama walikuwa viongozi na sasa si viongozi, unasema sasa wanapataje hizo taarifa?
 
Hata ikifeli, bado shughuli za chama zinaendelea. John Mrema na Yerricko wanakihujumu chama, unategemea waseme tofauti na matamanio yao?

Ngoja tuone mkuu ,muda ni mwalimu mzuri..tusiandikie mate wakati wino upo.
 
kama walikuwa viongozi na sasa si viongozi, unasema sasa wanapataje hizo taarifa?
Kwani Lissu anapaje taarifa classified za ndani ya serikali zilizojadiliwa kwenye balaza la mawaziri ,kwani na yeye ni waziri?
 
TAL huwa anaweka hadharani ushahidi wa anachokiongea zikiwemo nyaraka anazoongelea, huwa haimbi mapambio, tunaomba uweke huo ushahidi wa Mrema na Yericko hapa

otherwise itakuwa ni stori ya vijiwe vya kahawa

Tone tone inafanikiwa ndio maana Operesheni No Reforms No Elections inachanja mbuga!
 
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe waoga.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwenyekiti wenu aliwekwa korongoni ila watu waliokuwa wanatokea mahakama hawafiki hata 100..leo mtazuia uchaguzi..

Lissu ni insane.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?

Hivi Lissu yupo vizuri kweli kichwani.

Afu mtu akiwa against basi anatumika...haifai kabsa.
Lisu yupo vizuri tu kichwani Yeye kama yeye Lisu hawezi kuzuia hata kituo kimoja kufanya uchaguzi na anajua vizuri kabisa nguvu ya Dola ila watakao zuia uchaguzi siyo Lisu wala CDM ni watanzania wenyewe kama watakuwa tayari.Kwasababu kama Lisu ndiye wakuzuia chaguzi au CDM wangeweza kumuweka ndani mpaka uchaguzi uishe kisha wangemuachia au wangekifuta CDM basi mchezo ungekuwa Limeisha .Ila swala la Reform na Election si swala la vyama vya siasa peke yake llinahusicha na uma mzima wawatanzania je watanzania wanalizika na hii hali hilo ndilo linakitisha CCM.Je uma kama haiwezi ikaamka yenyewe bila Tuundulisu au CDM.Na je uma ya watanzania kama itaamka wataweza kuikabili.Binadamu wakati mwingine wanaitaji cheche tu ili kuuwasha moto.CCM isisikilizie moto inapaswa izime cheche na cheche si kulaghai baadhi vi,,iongozi wa upinzani kwa kuwapatia vijipipi wakati wao wakiogelea ktk mapipa ya Asali.Kikubwa ni kujiuliza je watanzania wamechoka na madhila haya ya CCM.kama bado basi tuendelee kwa mwendo huu tulio nao.Lisu yeye anachijaribu nikuwaamsha watanzania kuwa amkeni hivi sasa kumekucha wasipo amka na yeye safari ijayo anaweza akaunga juhudi kwani nini?
 
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe waoga.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwenyekiti wenu aliwekwa korongoni ila watu waliokuwa wanatokea mahakama hawafiki hata 100..leo mtazuia uchaguzi..

Lissu ni insane.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?

Hivi Lissu yupo vizuri kweli kichwani.

Afu mtu akiwa against basi anatumika...haifai kabsa.
Huyu anataka kukiua chama.
 
Ujinga na matatizo mliyonayo ktk vichwa vyenu mnadhani CHADEMA ni kama nyumba fulani iliyoko pale isiyoweza kufanya lolote wakati CHADEMA ni watu na ndiyo wapiga kura wa nchi hii....

Ujinga mwingine mlionao nyie ni kudhani kuwa "kuzuia uchaguzi" ni kundi fulani la watu kusimama barabarani na kuchapa viboko kila anayetaka hicho kinachoitwa "uchaguzi..."

Kufikiri huko ni ujinga uliokubuhu na tena ukifanywa na watu wanaojiita wasomi....

Sikiliza bwana....

➡Uchaguzi utazuiwa na FACTS zinazobeba matatizo ya mfumo wetu wa uchaguzi ambao umekwisha kufeli....

➡Haya matatizo ya mfumo wa uchaguzi wa nchi hii nyie ccm na serikali yenu mnayajua na kuyaelewa fika kwa sababu ndio mliounda tume mbalimbali ikiwemo ya Jaji Francis Nyalali, Jaji Robert Kissanga, Jaji Mark Bomani na the latest ni Tume ya Jaji Joseph Sinde Warioba ambazo tume zote hizi zimeanisha matatizo ya mfumo wetu wa utawala na uchaguzi...

➡Kwa hiyo, wananchi, jumuiya za kimataifa, nchi wahisani, asasi za kiraia za kitaifa na kimataifa wote hawa wanayaelewa matatizo haya tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. HAWA NDIYO WATAZUIA KUENDELEA KUFANYIKA KWA CHAGUZI ZA KIPUUZI NA KIJINGA ZA TANZANIA YA KUANZIA YA MAGUFULI NA SASA SAMIA
 
Sasa kuna mtu ataenda kupigia kura vyama vya mfukoni?

Watanzania wataendelea na shughuli zao wakijua CCM imepita bila kupingwa.
Sasa hapo si ndiyo CDM wamemkabizi fisi bucha? Hapo hauoni kwamba sisiemu watafurahi mpaka meno thalathini na nje yote mbili?
 
CCM washaanza kumtumia Mrema... hafiki popote yule hana ushawishi wowote ule.
Lissu chadema inaenda kumfia mikononi..
Baada October Act kinaenda kua chama kikuu Cha upinzani bungeni..
Hii kususia uchaguzi haiwez kukisaidia chama kivyovyote
 
Back
Top Bottom