BLACK Tanzania
Member
- Aug 26, 2015
- 32
- 120
Inaumiza saana kuona uwezo mdogo wa watanzania wengi kushindwa kuielewa hoja mkakati wa Chadema ya sasa ya NR NE. Kwani ni wapi lisu alisema CHDMA hawatashiriki uchaguziii mwaka huu!!!!!??? wanachofanya kwa sasa ni kuipa jamba jamba serikali na wapambe wake ikiwa ni pamoja na kuivua nguo kwa wananchi kusudi wasirudie ujinga walioufanya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.ahata wakifanya itakuwa kidogo saana sio kwa kuijiachia kule.. pia hili vuguvugu la sasa linawasiadia saana chagema kuwa na ajenda ya kufanya kampeni mapema na kupata mileage kubwa kwa wananchi baada ya kupoteza mvuto, hivi wasingekuwa na hii ajenda kwa mfano wananchi wangekuwa wakusanyika kwa wingi kwenda kusikiliza nini!! Lisu na Heche ni akili kubwa saana..No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.
Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe waoga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wenu aliwekwa korongoni ila watu waliokuwa wanatokea mahakama hawafiki hata 100..leo mtazuia uchaguzi..
Lissu ni insane.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi Lissu yupo vizuri kweli kichwani.
Afu mtu akiwa against basi anatumika...haifai kabsa.
Sasa baada ya chama chakavu kuona mipango yao inaenda mrama ndio maana sasa wameamua kuja na dhana na mpango ya hawa NJAA 55 ni dhahiri unaona jinsi hawa wachumia tumbo wasivyokuwa na hoja......Hili limewagusa pabaya "system na chama chakavu "hasa baada matokeo ua uchaguzi ndani ya Chadema...walipanda mahindi wakavuna magugu..