PreGE2025 Tuongee uhalisia: CHADEMA wanaweza zuia uchaguzi kweli? Mrema yupo sahihi. Lissu ashauriwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass..watanzania wenyewe waoga.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi lissu yupo vizuri kweli kichwani. Ushauri ulitolewa awaunganishe yeye ndiyo anawagawa zaidi.
Lissu ni mjuaji sana.

..kuzuia uchaguzi hawawezi.

..kuzuia wasienguliwe hawawezi.

..kutangazwa wakishinda hawawezi.

..mnawashauri wafanye nini?
 
Hata kama hawatawwza wataonyesha msimamo kua wamechoka kuburuzwa, kama Mimi MTU mzma lakn sijawahi hata kupiga Kura na sijui hata wanapigaje, unapigaje Kura wakt mshind anajulikana? Si ukichaa huo? Yani Kura SIO zinazoamua mshind inaendaje kupiga Kura? Wanaotakiwa kwenda kupiga Kura ni wanaoipigia CCM tuu, wengine nikupoteza mda
 
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?

Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe waoga.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?

Hivi Lissu yupo vizuri kweli kichwani.

Afu mtu akiwa against basi anatumika...haifai kabsa
Umeshiba Nayai?
 
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass..watanzania wenyewe waoga.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi lissu yupo vizuri kweli kichwani. Ushauri ulitolewa awaunganishe yeye ndiyo anawagawa zaidi.
Lissu ni mjuaji sana.
Sasa hapo shida ni Lissu ama nyie watanzania waoga na machawa?
 
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass..watanzania wenyewe waoga.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi lissu yupo vizuri kweli kichwani. Ushauri ulitolewa awaunganishe yeye ndiyo anawagawa zaidi.
Lissu ni mjuaji sana.
Sasa hapo shida ni Lissu ama nyie watanzania waoga na machawa
 
Kujibu hoja yako.
1. Agenda ya No reform No election ni agenda ya CHADEMA, na sio agenda binafsi ya Lissu. Hiyo agenda ilipitishwa na Chadema na kuanza kuhubiriwa na Mbowe. Lissu ameikuta.

2. Dhana ya kutokuwepo uchaguzi ina maanisha; kuunyima uhalali uchaguzi kwa misingi ya:
-Kukosoa mchakato wa uchaguzi.
-Kushinikiza kutokufanyika uchaguzi
-Kususia uchaguzi.
 
Kukosoa sawa na kususia sawa..je kushinikiza kutokufanyika uchaguzi wanaweza...lissu mwehu sana kumbe
 
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?

Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe waoga.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?

Hivi Lissu yupo vizuri kweli kichwani.

Afu mtu akiwa against basi anatumika...haifai kabsa
Wewe unaonaje,zipo hazipo?Unayo majibu gani hadi wakati huu.
 
No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko.

Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini?
Ukimsikiliza mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass..watanzania wenyewe waoga.
Je uchaguzi hajui watapata uwakilishi..watapata ruzuku?
Hivi lissu yupo vizuri kweli kichwani. Ushauri ulitolewa awaunganishe yeye ndiyo anawagawa zaidi.
Lissu ni mjuaji sana.
Wew unawaza madaraka na ruzuku.
 
Sio CHADEMA wanaotaka kuzuia uchaguzi,bali ni wananchi,CHADEMA ni mleta ajendum na vuguvugu.

Tatizo lenu mnaishi katika giza kiasi kwamba mmeridhika kunyang'anywa haki zenu mchana peupe,pepper, nchi duniani ambayo chama cha Siasa kiluwahi kuzuia uchaguzi,bali wananchi kupitia vuguvugu la chama cha siasa .

Kama tuna vichwa vyenye ubongo wenye akili,basi tuzitumie kwa ukamilifu
 
Back
Top Bottom