Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi?
Kwa hio ukiwa waziri uwe unapoporwa ardhi yako uiache tu wananchi waichukue? Yaan hata ukibakwa ukubari tu kubakwa sababu wewe ni waziri?

Nilitaka kusema neno ila sitaki akaunti yangu ifungwe na kufutwa kabisa isionekane tena JF
 
Hapo kwa mbowe na lisu ndio nimeelewa kuwa upo serious na hii nchi ,hivi ilikuwaje mtu kama lisu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA

USSR
 
Are you bipolar?
Wewe na machwa wenzako na kina dudubaya si ndio mlikuwa mkisema CHADEMA SACCOS ya Mbowe na wachaga!
 
Ulega anatakiwa apewe idara ya uvuvi na siyo wizara
Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega mwezi Februari aliahidi barabara ya Tengeru-Momella ujenzi ungeanza mwezi March, tuko Septemba hakuna ht dalili. Miradi mingi imesimama hakuna maelezo. Kuna mradi mdogo tu wa Km 25 kutoka Mbulu-Garbabi wa tangia mwaka 2022 mkandarasi ameshakimbia, bila aibu Wasira yuko Mbulu kuwalaghai wambulu waipigie kura CCM. Inaonekana wataipigia. Makame Mbarawa alimlaghai mzanzibari mwenzake Samia kwamba wangejenga barabara za lami 8 kwa utaratibu wa EPC for Finance, mikataba ilisainiwa tarehe 16 June 2023, ni aibu na fedheha ule ulikuwa utapeli wa Mbarawa. Mbarawa ilikuwa wa kumfukuza on the spot, kuwa mpemba kunamfanya aendelee na uwaziri, na alivyo na arrogance siku hizi kazi yake ni kuweka na kuzindua miradi. Nani amemsikia akijihusisha na changamoto yyte ya uchukuzi nchi hii? Mpemba kimsingi ni mbaguzi, mtu mbinafsi hastahili kabisa kuwa waziri ktk serikali ya muungano. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20. Sizungumzii tu waislam hata watu km Jenista Mhagama, Adolf Mkenda, Innocent Bashungwa hakuna kitu pale. Waziri awe mtu km Dorothy Gwajima, Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi? Kimsingi Samia kuna genge linamwendesha kwa maslahi yake
 
Kama kuna waziri ambaye huwa namuona kakaa kisanii Ulega ni namba moja...
 
Ni rahisi sana kuandika habari za watu wewe ukiwa kwenye kompyuta yako na kumuandika ulega,mbarawa au mtu yoyote yule.Ndio maana uandishi wa maana ni uke ambao unatafiti kitu kwa kina na unakuja na habari iliyoshiba na yenye ushawishi.Kuandika kabila za watu,dini za watu na kusingizia kuwa hizo dininau hizo kabila ndio zinawafanya washindwe kazi,ni uchanga mkubwa kwenye uandishi wa kitu chochote
 
Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega mwezi Februari aliahidi barabara ya Tengeru-Momella ujenzi ungeanza mwezi March, tuko Septemba hakuna ht dalili. Miradi mingi imesimama hakuna maelezo. Kuna mradi mdogo tu wa Km 25 kutoka Mbulu-Garbabi wa tangia mwaka 2022 mkandarasi ameshakimbia, bila aibu Wasira yuko Mbulu kuwalaghai wambulu waipigie kura CCM. Inaonekana wataipigia. Makame Mbarawa alimlaghai mzanzibari mwenzake Samia kwamba wangejenga barabara za lami 8 kwa utaratibu wa EPC for Finance, mikataba ilisainiwa tarehe 16 June 2023, ni aibu na fedheha ule ulikuwa utapeli wa Mbarawa. Mbarawa ilikuwa wa kumfukuza on the spot, kuwa mpemba kunamfanya aendelee na uwaziri, na alivyo na arrogance siku hizi kazi yake ni kuweka na kuzindua miradi. Nani amemsikia akijihusisha na changamoto yyte ya uchukuzi nchi hii? Mpemba kimsingi ni mbaguzi, mtu mbinafsi hastahili kabisa kuwa waziri ktk serikali ya muungano. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20. Sizungumzii tu waislam hata watu km Jenista Mhagama, Adolf Mkenda, Innocent Bashungwa hakuna kitu pale. Waziri awe mtu km Dorothy Gwajima, Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi? Kimsingi Samia kuna genge linamwendesha kwa maslahi yake
Ungejua hela zinatolewa vip na wapi?usingewalahumu hao kwa vigezo hivyo? Tafuta sababu nyingine, kwa kifupi uliza kama Road Fund inafanya kazi ipasavyo,kwa madhumuni yaliyowekwa wakati inaanzishwa??
 
ulega is a psycho. He doesn't not deserve even to be a local leader. Mbarawa is a crooked ass and openly liar. All of them should be dusted as used condom
 
Back
Top Bottom