KuniMbichi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 249
- 359
Kwa hio ukiwa waziri uwe unapoporwa ardhi yako uiache tu wananchi waichukue? Yaan hata ukibakwa ukubari tu kubakwa sababu wewe ni waziri?Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi?
Cabinet nzima imejaa vilaza tupuNafikiri ndio waziri mwenye uwezo mdogo kuliko wengine wote.
Bongo kuna vetting au upuuzi tu! Kila siku ni teua tengua🙆♂️Ewe mpuuzi unakosoa teuzi za mheshimiwa kama nani? Haujui kwamba wateuliwa wamepitia vetting na kujiridhisha kuwa wanafaa?
Are you bipolar?Hapo kwa mbowe na lisu ndio nimeelewa kuwa upo serious na hii nchi ,hivi ilikuwaje mtu kama lisu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA
USSR
Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega mwezi Februari aliahidi barabara ya Tengeru-Momella ujenzi ungeanza mwezi March, tuko Septemba hakuna ht dalili. Miradi mingi imesimama hakuna maelezo. Kuna mradi mdogo tu wa Km 25 kutoka Mbulu-Garbabi wa tangia mwaka 2022 mkandarasi ameshakimbia, bila aibu Wasira yuko Mbulu kuwalaghai wambulu waipigie kura CCM. Inaonekana wataipigia. Makame Mbarawa alimlaghai mzanzibari mwenzake Samia kwamba wangejenga barabara za lami 8 kwa utaratibu wa EPC for Finance, mikataba ilisainiwa tarehe 16 June 2023, ni aibu na fedheha ule ulikuwa utapeli wa Mbarawa. Mbarawa ilikuwa wa kumfukuza on the spot, kuwa mpemba kunamfanya aendelee na uwaziri, na alivyo na arrogance siku hizi kazi yake ni kuweka na kuzindua miradi. Nani amemsikia akijihusisha na changamoto yyte ya uchukuzi nchi hii? Mpemba kimsingi ni mbaguzi, mtu mbinafsi hastahili kabisa kuwa waziri ktk serikali ya muungano. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20. Sizungumzii tu waislam hata watu km Jenista Mhagama, Adolf Mkenda, Innocent Bashungwa hakuna kitu pale. Waziri awe mtu km Dorothy Gwajima, Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi? Kimsingi Samia kuna genge linamwendesha kwa maslahi yake
Vetting za bongo kama za kaole tu, imagine bashite naye anakuja kuwa wazir ndio useme kuna vetting hapo?Ewe mpuuzi unakosoa teuzi za mheshimiwa kama nani? Haujui kwamba wateuliwa wamepitia vetting na kujiridhisha kuwa wanafaa?
Juu kwenye title Abdullah Ulega ukisoma kalengwa nani kumbe Ummy Mwalimu,Ummy kachukuwa ardhi ya nani?
😀😀😀***** wewe mpeleke mamako akawe waziri wa ujenzi kama ulega hafai
Cabinet nzima imejaa vilaza tupu
Ni rahisi sana kuandika habari za watu wewe ukiwa kwenye kompyuta yako na kumuandika ulega,mbarawa au mtu yoyote yule.Ndio maana uandishi wa maana ni uke ambao unatafiti kitu kwa kina na unakuja na habari iliyoshiba na yenye ushawishi.Kuandika kabila za watu,dini za watu na kusingizia kuwa hizo dininau hizo kabila ndio zinawafanya washindwe kazi,ni uchanga mkubwa kwenye uandishi wa kitu chochoteSamia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega mwezi Februari aliahidi barabara ya Tengeru-Momella ujenzi ungeanza mwezi March, tuko Septemba hakuna ht dalili. Miradi mingi imesimama hakuna maelezo. Kuna mradi mdogo tu wa Km 25 kutoka Mbulu-Garbabi wa tangia mwaka 2022 mkandarasi ameshakimbia, bila aibu Wasira yuko Mbulu kuwalaghai wambulu waipigie kura CCM. Inaonekana wataipigia. Makame Mbarawa alimlaghai mzanzibari mwenzake Samia kwamba wangejenga barabara za lami 8 kwa utaratibu wa EPC for Finance, mikataba ilisainiwa tarehe 16 June 2023, ni aibu na fedheha ule ulikuwa utapeli wa Mbarawa. Mbarawa ilikuwa wa kumfukuza on the spot, kuwa mpemba kunamfanya aendelee na uwaziri, na alivyo na arrogance siku hizi kazi yake ni kuweka na kuzindua miradi. Nani amemsikia akijihusisha na changamoto yyte ya uchukuzi nchi hii? Mpemba kimsingi ni mbaguzi, mtu mbinafsi hastahili kabisa kuwa waziri ktk serikali ya muungano. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20. Sizungumzii tu waislam hata watu km Jenista Mhagama, Adolf Mkenda, Innocent Bashungwa hakuna kitu pale. Waziri awe mtu km Dorothy Gwajima, Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi? Kimsingi Samia kuna genge linamwendesha kwa maslahi yake
Ungejua hela zinatolewa vip na wapi?usingewalahumu hao kwa vigezo hivyo? Tafuta sababu nyingine, kwa kifupi uliza kama Road Fund inafanya kazi ipasavyo,kwa madhumuni yaliyowekwa wakati inaanzishwa??Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega mwezi Februari aliahidi barabara ya Tengeru-Momella ujenzi ungeanza mwezi March, tuko Septemba hakuna ht dalili. Miradi mingi imesimama hakuna maelezo. Kuna mradi mdogo tu wa Km 25 kutoka Mbulu-Garbabi wa tangia mwaka 2022 mkandarasi ameshakimbia, bila aibu Wasira yuko Mbulu kuwalaghai wambulu waipigie kura CCM. Inaonekana wataipigia. Makame Mbarawa alimlaghai mzanzibari mwenzake Samia kwamba wangejenga barabara za lami 8 kwa utaratibu wa EPC for Finance, mikataba ilisainiwa tarehe 16 June 2023, ni aibu na fedheha ule ulikuwa utapeli wa Mbarawa. Mbarawa ilikuwa wa kumfukuza on the spot, kuwa mpemba kunamfanya aendelee na uwaziri, na alivyo na arrogance siku hizi kazi yake ni kuweka na kuzindua miradi. Nani amemsikia akijihusisha na changamoto yyte ya uchukuzi nchi hii? Mpemba kimsingi ni mbaguzi, mtu mbinafsi hastahili kabisa kuwa waziri ktk serikali ya muungano. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20. Sizungumzii tu waislam hata watu km Jenista Mhagama, Adolf Mkenda, Innocent Bashungwa hakuna kitu pale. Waziri awe mtu km Dorothy Gwajima, Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi? Kimsingi Samia kuna genge linamwendesha kwa maslahi yake
Kobaz Kwa matusi mmejaaliwa na Mola wenu***** wewe mpeleke mamako akawe waziri wa ujenzi kama ulega hafai
we jamaa ni kichaaTakataka
Ndiyo hawafai na hawawezi kwani uongo? Au ni basha wako? Maana soo kwa povu hilo***** wewe mpeleke mamako akawe waziri wa ujenzi kama ulega hafai