Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Bunge jipya Samia ndio atapata Mawaziri, watu kama Mavunde na Ndejembi wanafaa nini?Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega mwezi Februari aliahidi barabara ya Tengeru-Momella ujenzi ungeanza mwezi March, tuko Septemba hakuna ht dalili. Miradi mingi imesimama hakuna maelezo. Kuna mradi mdogo tu wa Km 25 kutoka Mbulu-Garbabi wa tangia mwaka 2022 mkandarasi ameshakimbia, bila aibu Wasira yuko Mbulu kuwalaghai wambulu waipigie kura CCM. Inaonekana wataipigia. Makame Mbarawa alimlaghai mzanzibari mwenzake Samia kwamba wangejenga barabara za lami 8 kwa utaratibu wa EPC for Finance, mikataba ilisainiwa tarehe 16 June 2023, ni aibu na fedheha ule ulikuwa utapeli wa Mbarawa. Mbarawa ilikuwa wa kumfukuza on the spot, kuwa mpemba kunamfanya aendelee na uwaziri, na alivyo na arrogance siku hizi kazi yake ni kuweka na kuzindua miradi. Nani amemsikia akijihusisha na changamoto yyte ya uchukuzi nchi hii? Mpemba kimsingi ni mbaguzi, mtu mbinafsi hastahili kabisa kuwa waziri ktk serikali ya muungano. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20. Sizungumzii tu waislam hata watu km Jenista Mhagama, Adolf Mkenda, Innocent Bashungwa hakuna kitu pale. Waziri awe mtu km Dorothy Gwajima, Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi? Kimsingi Samia kuna genge linamwendesha kwa maslahi yake
Pole mhitimu wa Esamiπ₯³Masters za esami zina shuda gani mkuu
Aisee huko kama kajamba nani kwenye mtandao huwez ku fit we kutwa uko jamii forum halaf uwe kwenye mtandao ule haiwezekaniHivi kujiunga na wana mtandao mtaji wake ni km sh. Ngapi
Huwa nazielewa sana mada zako unazopandisha humu.Povu ,kinachojenga Barabara sio mawaziri Bali pesa.
Laumu Samia na Mwigulu watoe pesa.
Tusi dharauliane fwaza π ebu nipe no ya yule singa singaAisee huko kama kajamba nani kwenye mtandao huwez ku fit we kutwa uko jamii forum halaf uwe kwenye mtandao ule haiwezekani
Naona huu mtandao tutaanza kuulinganisha na Freemason!Hivi kujiunga na wana mtandao mtaji wake ni km sh. Ngapi
Leo mnakofungiwa kwenye chumba mmgeukana, Abdul hajatoa hela ya posho ?Ewe mpuuzi unakosoa teuzi za mheshimiwa kama nani? Haujui kwamba wateuliwa wamepitia vetting na kujiridhisha kuwa wanafaa?
Leo machawa mnarushiana mawe kulikoni ?Povu ,kinachojenga Barabara sio mawaziri Bali pesa.
Laumu Samia na Mwigulu watoe pesa.
Chawa na dad yakoLeo machawa mnarushiana mawe kulikoni ?
Waziri ndio mtendaji?Wizara ya ujenzi ndio moja ya wizara yenye pesa nyingi kwa yeyote atakayeteuliwa kuwa waziri.
Ilihitaji mtu awe na taaluma ya engineering na wasomi wapo lakini sio wanasiasa wetu wenye elimu ya hapa na pale au Masters za Esami.
Naunga mkono hoja inabidi waziri atoke vyuoni kama Must. Udsm au.DIT.
Mbarawa alipokuwa mwalimu alifanya vizuri tuu mpaka kupata kazi botswana lakini alipotua kwenye wizara umeme ukakata kichwani hafai na Ulega pia apewe kama michezo hivi simba na.yanga
Me nnayo namba za ridhwan kikwete nape nauye na makamba naweza kupa wakakusaidia uingie bila wasi ila hapo simple ilikuwa jdnuary makamba ila sasa wamemzingua simu izi itakuwa ngumu kukuelewa kwa sasa ila ungekuwa serious ningekupa uongee nao ila sijui utaongea nao nini ww mtu wa JF ππππTusi dharauliane fwaza π ebu nipe no ya yule singa singa
Wameiua TanroadsWizara ya ujenzi ndio moja ya wizara yenye pesa nyingi kwa yeyote atakayeteuliwa kuwa waziri.
Ilihitaji mtu awe na taaluma ya engineering na wasomi wapo lakini sio wanasiasa wetu wenye elimu ya hapa na pale au Masters za Esami.
Naunga mkono hoja inabidi waziri atoke vyuoni kama Must. Udsm au.DIT.
Mbarawa alipokuwa mwalimu alifanya vizuri tuu mpaka kupata kazi botswana lakini alipotua kwenye wizara umeme ukakata kichwani hafai na Ulega pia apewe kama michezo hivi simba na.yanga
π mimi sio mtu wa Jf ni member wa Jf mkuu ngoja nichekeche nipate no ya singasinga mwenyewe achana na hiyo mitetea kina FebruaryMe nnayo namba za ridhwan kikwete nape nauye na makamba naweza kupa wakakusaidia uingie bila wasi ila hapo simple ilikuwa jdnuary makamba ila sasa wamemzingua simu izi itakuwa ngumu kukuelewa kwa sasa ila ungekuwa serious ningekupa uongee nao ila sijui utaongea nao nini ww mtu wa JF ππππ
Hata mimi hili swali nilikuwwa najiuliza hii nchi ni ya kuitafuta haswa sasa lazima utafute pa kuingilia ili utafune nchi vizuri.Hivi kujiunga na wana mtandao mtaji wake ni km sh. Ngapi
Mleta mada haya mambo uliyoelezea yapo wazi kwa kila mmoja wetu kama riaha, viongozi wetu wengi uwezo wao ni mdogo sana hadi ina kera. Kinacho tuponza ni Katiba mbaya.Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega mwezi Februari aliahidi barabara ya Tengeru-Momella ujenzi ungeanza mwezi March, tuko Septemba hakuna ht dalili. Miradi mingi imesimama hakuna maelezo. Kuna mradi mdogo tu wa Km 25 kutoka Mbulu-Garbabi wa tangia mwaka 2022 mkandarasi ameshakimbia, bila aibu Wasira yuko Mbulu kuwalaghai wambulu waipigie kura CCM. Inaonekana wataipigia. Makame Mbarawa alimlaghai mzanzibari mwenzake Samia kwamba wangejenga barabara za lami 8 kwa utaratibu wa EPC for Finance, mikataba ilisainiwa tarehe 16 June 2023, ni aibu na fedheha ule ulikuwa utapeli wa Mbarawa. Mbarawa ilikuwa wa kumfukuza on the spot, kuwa mpemba kunamfanya aendelee na uwaziri, na alivyo na arrogance siku hizi kazi yake ni kuweka na kuzindua miradi. Nani amemsikia akijihusisha na changamoto yyte ya uchukuzi nchi hii? Mpemba kimsingi ni mbaguzi, mtu mbinafsi hastahili kabisa kuwa waziri ktk serikali ya muungano. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20. Sizungumzii tu waislam hata watu km Jenista Mhagama, Adolf Mkenda, Innocent Bashungwa hakuna kitu pale. Waziri awe mtu km Dorothy Gwajima, Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi? Kimsingi Samia kuna genge linamwendesha kwa maslahi yake
Na ukipata tobo tafuna haswaaaaaaaaaaa maaana mwenye mali ni mjinga cha kuokota sio cha kuibaHata mimi hili swali nilikuwwa najiuliza hii nchi ni ya kuitafuta haswa sasa lazima utafute pa kuingilia ili utafune nchi vizuri.
Mbalawa naweza kumtetea alikuwa waziri pia kipindi cha magu na alifanya kazi vizuri sana uuyo mwingine sijui ulega hakuna kitu ni mjanja mjanja wazee wa ten percent wanalala mbele..Samia ni Rais mstaarabu, ana uwezo ila uswahili unamgharimu. Mawaziri km Abdallah Ulega, Makame Mbarawa kinachowabeba ni uislam na uzanzibari, Makame ni aibu kumwita waziri tena wa Uchukuzi. Ulega hakuna kitu pale, tena siku hizi ameanza arrogance, hii serikali inayokuja sijui itakuwaje. Ulega mwezi Februari aliahidi barabara ya Tengeru-Momella ujenzi ungeanza mwezi March, tuko Septemba hakuna ht dalili. Miradi mingi imesimama hakuna maelezo. Kuna mradi mdogo tu wa Km 25 kutoka Mbulu-Garbabi wa tangia mwaka 2022 mkandarasi ameshakimbia, bila aibu Wasira yuko Mbulu kuwalaghai wambulu waipigie kura CCM. Inaonekana wataipigia. Makame Mbarawa alimlaghai mzanzibari mwenzake Samia kwamba wangejenga barabara za lami 8 kwa utaratibu wa EPC for Finance, mikataba ilisainiwa tarehe 16 June 2023, ni aibu na fedheha ule ulikuwa utapeli wa Mbarawa. Mbarawa ilikuwa wa kumfukuza on the spot, kuwa mpemba kunamfanya aendelee na uwaziri, na alivyo na arrogance siku hizi kazi yake ni kuweka na kuzindua miradi. Nani amemsikia akijihusisha na changamoto yyte ya uchukuzi nchi hii? Mpemba kimsingi ni mbaguzi, mtu mbinafsi hastahili kabisa kuwa waziri ktk serikali ya muungano. Km si chadema kukosea kumchagua Lissu kuwa mwenyekiti Chadema ilikuwa mwaka wa kujijenga, ingechukua majimbo mengi, wangehamasisha kulinda kura, mwaka 2010 km si kulinda kura Lema asingekuwa mbunge. Miaka 5 inayokuja kwa wabunge aina ya Ulega na Mbarawa itakuwa zaidi ya miaka 20. Sizungumzii tu waislam hata watu km Jenista Mhagama, Adolf Mkenda, Innocent Bashungwa hakuna kitu pale. Waziri awe mtu km Dorothy Gwajima, Ummy Mwalimu ingawa Ummy uswahili umemharibu sana anashindana na watu wadogo, migogoro na wananchi, waziri unanyanganyana ardhi na wananchi? Kimsingi Samia kuna genge linamwendesha kwa maslahi yake