Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

Wizara ya ujenzi aliiwezea magufuli na baada ya hapo pakapwaya sana
 
πŸ˜„ mimi sio mtu wa Jf ni member wa Jf mkuu ngoja nichekeche nipate no ya singasinga mwenyewe achana na hiyo mitetea kina February
Pambana me huyo hata kuonana nae sijawahi ila hao mitetea huwa na meet nao sana story sana tu ila huyo mtafute tu mana n mkubwa na tajiri mno huyo πŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜€
 
Pambana me huyo hata kuonana nae sijawahi ila hao mitetea huwa na meet nao sana story sana tu ila huyo mtafute tu mana n mkubwa na tajiri mno huyo πŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜€
Ngoja nicheze na yule dingi aliyeugua tezi dume first class
 
Sio Ulenga tuuu wakoo wengii tuuu ,shida ni uislamu ,na ukanddaaa mfano kapo kile kibinti cha kigoma eti ni bosi wake Ndunguru akati Ndunguru anakazaa kalee honnestly kuna vitu vinafanyika ushangaaa tuuu cheki mfano wizara ya maji wamejazanaaa wakojani tupuu kelele tupuu naishia hapoo
 
Naunga mkono hoja inabidi waziri atoke vyuoni kama Must. Udsm au.DIT.
Kazi ya katibu mkuu wa wizara na jopo lake ni nini? Huyu katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu wa wizara yeye ndiye mtaaluma wa hiyo wizara. Waziri ni mwanasiasa tu.

Tuache siasa ilitakiwa makatibu ndio wawe wasimamizi wakuu wa miradi hawa Mawaziri wasiwaingilie kwenye majukumu yao.

Mawaziri wanawaingilia ili kupiga mwisho wa siku na makatibu nao wanaishi nao. Tatizo siasa nyingi sana hapo Tanzania

Eti diwani wa kata STD 7 ana mamlaka kubwa kuliko hata daktari, mwalimu au mtumishi yoyote chini ya kata yake. Sihasa!
 
Tupo nae hapa huyu Ulega Diamond Jubillee kwenye CRB - TUCASA day, kama wakandaras anatupigisha blah blah zake, picha za rais zimejaa kama tuko kwenya kampeni
 
Sio, huyo tu, Samia hakustahili wala hana, sifa hata za, kuwa DED, au, VEO,
 
Ewe mpuuzi unakosoa teuzi za mheshimiwa kama nani? Haujui kwamba wateuliwa wamepitia vetting na kujiridhisha kuwa wanafaa?
Vetting zipi??🀣🀣🀣 Za kuteua mtu aliyekufa?? Usitake kuchekesha walionuna, ni UTOPOLO, mtu mmoja anateuliwa ukurugenzi Halmashauri mbili kwa mara moja!!! Hakuna vetting ila Kuna BETTING 🀣🀣🀣🀣
 
Wizara ya ujenzi imerudi zile zama za idara ya ujenzi vitu havieleweki ukifanya kazi na Tanroads malipo kizungumkuti unaweza subiri miaka hata 3 waziri husika (Ulega) mpiga porojo tu ukimuweka na huyo CEO wa Tanroads ndo bure kabisa sikuhizi wakandarasi wameacha kuomba kazi zinazotqngqzwq mtandaoni (Nest). Mpaka taasisi za fedha zinaogopa kukopesha wakandarasi wenye miradi ya serikali hii sio dalili nzuri pesa mtaani hakuna.​
 
Wakati Magufuli anafanya kazi na Mbarawa Magufuli alikuwa anatokea wilaya gani ya Pemba na alikuwa anaswali msikiti gani huko Pemba labda ikabidi amteue muumini mwenzake?
Kwamba Ulega kusema barabara ya Momela itajengwa ila mpaka leo haijajengwa kwa umri wako unadhani ni yeye ndio kashindwa? Una akili wewe kweli hata ujisumbue kuhangaika kuhoji ahadi za Wazir mmoja mmoja? Wewe tumia akili zako vizur kuwaambia watu tatizo ni CCM yote na mawzir wanaotumwa tu
 
Unaifahamu nguvu ya mtandao?
 
Kwani:
Mwigulu anafaa kuwa hapo alipo?
Bashe anastahili kuongoza Kilimo?
Jafo anastahili?

Hilo ni baraza la kugawana pesa za nchi. Ukiweza kutengeza misheni ikakuwezesha kumjengea Hoteli Samia, ukaweza kumjengea kiwanda cha Tumbaku, Ukaweka misheni akanunua Ngurdoto, nk. wewe ni waziri unayefaa!

Kibaya tu ni kwamba wanaomsaidia kupata raslimali hizo ni wa-Tanganyika. Hawana uchungu na wenzao. Lakini uzuri na wao wanachota wanavyoweza. Ni mtindo wa Mobutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…