Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

Hata personality tu hana, ukikutana naye kitaa kama humjui unaweza kudhani ni bodaboda yani, hivyo
 
Naunga mkono hoja.
Juhudi za Benjamin Mkapa kuiunda upya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi sasa naona juhufi zile zinaparaganyika.
Siyo siri, mawaziri wa hivi karibuni, Mbarawa na Ulega ni mediocre.
Inaelekea wako pake kimaslahi zaidi

TANROADS inakufa kifo cha taratibu hakuna wa kuitetea.
Road Board sasa hivi fedha inayokusanywa inapelekwa kwingine ili itafunwe kimkakati.

Ujenzi kwa sasa ni ulaji kipaumbele.
Mbarawa hakuwa na ghorofa sssa lip la ghorofa nane Mwenge hapo, hela haijifichi.
Ulega masiki hajui hata tofauti ya concrete na mortar. Palikuwa na utarstibu wa kumweka waziri ingalau anayeijua fani ya ujenzi. Hawa mawaziri wasiojua kitu wanaishia wimbo wa mkandarasi afanye kazi usiku na mchana, na maana yake wala hawaijui.

Wacha niishie hapo, in the meantime mtandao wa barabara nchini unazidi kuporomoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…