Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

Hio 22% unayopigia hesabu ni kwa hawa hawa wabongo naowajua mimi au utaifanyia maeneo ya Norway?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hao hao short loans na overdrafts zinakua na riba kubwa sanaa kwa mfano mtu anakuambia nipe 10m ndani ya mwezi moja ntarejesha 12.5m manaake bila shida anakupa riba ya 25% kwa hiari yake tena kwa mwezi moja tu.......mikopo ya dharula ina ribs kubwa na wstu wakisikia una cash 24/7 iko tayari kuleti ya nyumba ya 50m kwa mkopo wa 10m.
 
1. unaongea ujingaa tu..
2.acha porojo...
Na uhakika nina elimu ya haya Mambo kuliko ukoo wenu wote.
Tuachane na hayo.

Ushauri:-
Unapokuwa una "bishana na mtu" basi jaribu kutumia optimism worlds. Na siku zotee kama unahisi huwezi kutoa hoja halafu hukubaliani na hoja basi we AGREE TO DISAGREE.

#YNWA
 
Wako sahihi kupigia hio mifano maana hao ndio targets wao! Wewe bukuonaire na lakionaire mkae pembeni😂
Kuna siku nipo semina pale Dom ukumbini Wizara ya Fedha.
Kama kawaida Wizara ya Fedha ikaalika taasisi kadhaa Kuja kuongea na watumishi.
Akaanza UTT, mzee mmoja hivi amevaa suti nyeusi safi, aka project mada yake pale kwenye screen.
Kwa dakika 40 alizoongea hakutoa mfano hata wa mwalimu wa TGTS C ndio awe base yetu.

Nilitaka kunyoosha mkono nimwambie aache kutoa Mifano ya wapata mil 50 na 100 aje kwa majority ya watz wa kipato cha kawaida.

Ila nikaona na yeye yupo tu kazini, hivyo nichune amalize kipindi chake akasaini dole gumba mwisho wa mwezi aingize chake.

Chance ndoto

#YNWA
 
Yuko sahihi bro, si kila kitu cha michezo wmbu tuishi kwa mipango
 
Mtihani huu mkuu, imagine wengine tupo UTT kukuza mtaji, labda mfano nikifika 5M nikafanyie biashara afu anakuja fungua nyuzi kutusema
Tunarudi palepale
Mutual fund iwe ni saving account ya plan yako Ila sio tobo lako la mafanikio.

Hata Mimi nipo FAIDA FUND ila shida ni kununua FUSO.

#YNWA
 
Mdogo wangu "Mbona hiki ulichoandika ndio nimeandika?"

RUDI KWENYE MADA "Je money market ya bongo inaweza kumfanya kijana mtafutaji akawa tajiri?"" ANZIA HAPO.

#YNWA
 
Huyo naye ana jambo lake tu, kwamba unataka kuniambia mutual funds za wazungu zinazidi 15% kwa mwaka ??. Anyway labda mimi ndio kilaza, basi kama ndio wasomi wetu ndio hawa tuna safari ndefu
Unajua maana money market?
Rudi kwenye mada "JE MONEY MARKET YA BONGO INAWEZA KUMFANYA MBONGO WA KIPATO CHA KAWAIDA AKATOBOA?"

#YNWA
 
Kama umeweza generate 1b, huwezi pelekea watu wengine pesa zako wazifanyie kazi ilihali wewe unaakili ya kuizungusha, uchum wetu ulivyokaa,biashara ndio kitu kinawez mtoa mtu kwa haraka tofauti na ughaibuni.
 
Elimu ni endelevu. Ukitoka darasani haimanishi unajua kila kitu. Siku hizi hata experience inakuwa considered elimu.
Mzee experience gani unaipata hapo??
Hizo ni hesabu, ukiweka hiki utapata hiki, ni calculated kabisa sasa hapo unatafuta uzoefu au unapoteza muda, elimu uliyopata ikusaidie kutopoteza muda kwa vitu usicyo na malengo navyo.
 
Para ya kwanza, umeandika kitu cha maana. Kabla hujaweka pesa ulijua utapata 12%, umalize kuweka ulalamike nimepata faida kidogo hahahaha.

Msomi wa uchumi hapa napo anatakiwa kufafanua alikuwa anamaanisha nini

Halafu hapo hapo kuna post nikamuelezea maana ya active na passive income tena kwa mfano.

Bado anasema "Anaishangaa Masters yangu.!!""

Kwani Sea Beast na Sharbel kwani unataka nielezeje.

Mimi nimekuuliza swali kiujumla "Money market inaweza kukupa u tajiri?""
Sija classify wala ku-group. Kwahiyo nimekupa chance utoe mfano wa financial instrument yoyoteee inayoweza kumpa mtanzania wakawaida utajiri.

Babu NAELEWA KILA KITUUUUUU.

Au HUJAELEWA NINI?
 
NB: starehe ya mafukara ni Ngono.
 
Wabongo matapeli sana, unampa hela baadae unaenda kuidai hela polisi! Sio watu smart kabisa yani.
 
ukiweka 15000 kila mwez kwa miaka 30 , mwingine akaweka 30,000,000 kila mwez kwa miaka mitano amin usiamin huyu alieweka kidogokidogo muda mrefu ataoneoka na ukwasi wakutisha kuliko huyu milionea
financial illiteracy ndio iliotamalaki humu huwez kutegemea hela ya utt ulipie kodi mwakani kaeni vizuri na wenye uelewa wa hii kitu msikurupuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…