Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

Hio 22% unayopigia hesabu ni kwa hawa hawa wabongo naowajua mimi au utaifanyia maeneo ya Norway?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hao hao short loans na overdrafts zinakua na riba kubwa sanaa kwa mfano mtu anakuambia nipe 10m ndani ya mwezi moja ntarejesha 12.5m manaake bila shida anakupa riba ya 25% kwa hiari yake tena kwa mwezi moja tu.......mikopo ya dharula ina ribs kubwa na wstu wakisikia una cash 24/7 iko tayari kuleti ya nyumba ya 50m kwa mkopo wa 10m.
 
1. unaongea ujingaa tu..
2.acha porojo...
Na uhakika nina elimu ya haya Mambo kuliko ukoo wenu wote.
Tuachane na hayo.

Ushauri:-
Unapokuwa una "bishana na mtu" basi jaribu kutumia optimism worlds. Na siku zotee kama unahisi huwezi kutoa hoja halafu hukubaliani na hoja basi we AGREE TO DISAGREE.

#YNWA
 
Wako sahihi kupigia hio mifano maana hao ndio targets wao! Wewe bukuonaire na lakionaire mkae pembeni😂
Kuna siku nipo semina pale Dom ukumbini Wizara ya Fedha.
Kama kawaida Wizara ya Fedha ikaalika taasisi kadhaa Kuja kuongea na watumishi.
Akaanza UTT, mzee mmoja hivi amevaa suti nyeusi safi, aka project mada yake pale kwenye screen.
Kwa dakika 40 alizoongea hakutoa mfano hata wa mwalimu wa TGTS C ndio awe base yetu.

Nilitaka kunyoosha mkono nimwambie aache kutoa Mifano ya wapata mil 50 na 100 aje kwa majority ya watz wa kipato cha kawaida.

Ila nikaona na yeye yupo tu kazini, hivyo nichune amalize kipindi chake akasaini dole gumba mwisho wa mwezi aingize chake.

Chance ndoto

Yuko sahihi bro, si kila kitu cha michezo wmbu tuishi kwa mipango
 
Mtihani huu mkuu, imagine wengine tupo UTT kukuza mtaji, labda mfano nikifika 5M nikafanyie biashara afu anakuja fungua nyuzi kutusema
Tunarudi palepale
Mutual fund iwe ni saving account ya plan yako Ila sio tobo lako la mafanikio.

Hata Mimi nipo FAIDA FUND ila shida ni kununua FUSO.

#YNWA
 
Kwani ukimiliki share hio 3% ya NBC, Twiga Cement hapa Tz hauwi tajiri au unachanganya aina ya Share.

Kwenye hii mada mtoa mada umechanfanya sana vitu hata Active na passive income umechanganya...unawekeza UTT bila hata kuijua UTT yenyewe na una serve nini.

Hasa kitu kama UTT mcnganyuo wa gaqio upo hata kabla mtu ujawekeza let say gawio 10% kwa mwaka then wewe unaweza million 2 yako unakuja kulalamika baadae huku ni kuonesha kutokujua unafanya nini.

Alafu nani aliyekwambia UTT lengo kumfanya mtu awe tajiri, mimi sijawai kuweka UTT wala Fixed ila kwa uwelewa wangu mdogo tu Kwa uwezaji wa kimasikini kabisa umekosa na kukosa ndio hauna namna uwe na atlesat 50 Millions to 100 Million sasa wewe unaweka milioni sijui milioni 2 unapata 100K unalalama hii 100K hukufanya mahesabu kabla.

Then ukarukia FOREX, forex ni Active income is kind of financial Business how come utoke kwenye Passive income kwamaana pesa ambayo umeizalisha kwenye already physical income source ulizonazo na kuweka kwenye financial asset ambazo bi passive income kama UTT uone haija work out unaipeleka tena kwenye Forex ambayo ambayo ni Active income.....Hapa kunaonesha hata ROAD MAP ya njia zako huna hujui unafanya nini kabisa.

Hata nikikuuliza pia hapo tofauti ya CRYPTOCURRENCY na FOREX kwenye misingi ya Income hujui tofauti zake I swear.
Mdogo wangu "Mbona hiki ulichoandika ndio nimeandika?"

RUDI KWENYE MADA "Je money market ya bongo inaweza kumfanya kijana mtafutaji akawa tajiri?"" ANZIA HAPO.

#YNWA
 
Huyo naye ana jambo lake tu, kwamba unataka kuniambia mutual funds za wazungu zinazidi 15% kwa mwaka ??. Anyway labda mimi ndio kilaza, basi kama ndio wasomi wetu ndio hawa tuna safari ndefu
Unajua maana money market?
Rudi kwenye mada "JE MONEY MARKET YA BONGO INAWEZA KUMFANYA MBONGO WA KIPATO CHA KAWAIDA AKATOBOA?"

#YNWA
 
Government bond ni biashara ya Wahindi, anaweza kuweka B 1 BOT kila mwezi akavuta mshahara wa million kadhaa na pesa inazaa.

Kapuku na biashara ya pesa hakuna kitu kama hicho.

Mambo ya Forex na bit coin sijui ndio cryptocurrency achana nayo kabisa.

Nimemsikia Bongo zozo mara nyingi akidanganya watu kwamba Siri ya yeye kuwa na pesa ya kusafiri duniani ni bit coin, si kweli msiingizwe mkenge huo, wazungu ni fallen Angels huwezi kuujuwa undani wao.

Kwenye ujasiriamali ukiwa na roho ngumu na ukakomaa pesa unaweza kuiona, na kingine Bongo visource vya income unatakiwa uwe navyo vingivingi tu bila kusahau kujenga lodge, hii ndio biashara ya uhakika, starehe ya mafukara NI ngono.
Kama umeweza generate 1b, huwezi pelekea watu wengine pesa zako wazifanyie kazi ilihali wewe unaakili ya kuizungusha, uchum wetu ulivyokaa,biashara ndio kitu kinawez mtoa mtu kwa haraka tofauti na ughaibuni.
 
Elimu ni endelevu. Ukitoka darasani haimanishi unajua kila kitu. Siku hizi hata experience inakuwa considered elimu.
Mzee experience gani unaipata hapo??
Hizo ni hesabu, ukiweka hiki utapata hiki, ni calculated kabisa sasa hapo unatafuta uzoefu au unapoteza muda, elimu uliyopata ikusaidie kutopoteza muda kwa vitu usicyo na malengo navyo.
 
Para ya kwanza, umeandika kitu cha maana. Kabla hujaweka pesa ulijua utapata 12%, umalize kuweka ulalamike nimepata faida kidogo hahahaha.

Msomi wa uchumi hapa napo anatakiwa kufafanua alikuwa anamaanisha nini

Halafu hapo hapo kuna post nikamuelezea maana ya active na passive income tena kwa mfano.

Bado anasema "Anaishangaa Masters yangu.!!""

Kwani Sea Beast na Sharbel kwani unataka nielezeje.

Mimi nimekuuliza swali kiujumla "Money market inaweza kukupa u tajiri?""
Sija classify wala ku-group. Kwahiyo nimekupa chance utoe mfano wa financial instrument yoyoteee inayoweza kumpa mtanzania wakawaida utajiri.

Babu NAELEWA KILA KITUUUUUU.

Au HUJAELEWA NINI?
 
Government bond ni biashara ya Wahindi, anaweza kuweka B 1 BOT kila mwezi akavuta mshahara wa million kadhaa na pesa inazaa.

Kapuku na biashara ya pesa hakuna kitu kama hicho.

Mambo ya Forex na bit coin sijui ndio cryptocurrency achana nayo kabisa.

Nimemsikia Bongo zozo mara nyingi akidanganya watu kwamba Siri ya yeye kuwa na pesa ya kusafiri duniani ni bit coin, si kweli msiingizwe mkenge huo, wazungu ni fallen Angels huwezi kuujuwa undani wao.

Kwenye ujasiriamali ukiwa na roho ngumu na ukakomaa pesa unaweza kuiona, na kingine Bongo visource vya income unatakiwa uwe navyo vingivingi tu bila kusahau kujenga lodge, hii ndio biashara ya uhakika, starehe ya mafukara NI ngono.
NB: starehe ya mafukara ni Ngono.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hao hao short loans na overdrafts zinakua na riba kubwa sanaa kwa mfano mtu anakuambia nipe 10m ndani ya mwezi moja ntarejesha 12.5m manaake bila shida anakupa riba ya 25% kwa hiari yake tena kwa mwezi moja tu.......mikopo ya dharula ina ribs kubwa na wstu wakisikia una cash 24/7 iko tayari kuleti ya nyumba ya 50m kwa mkopo wa 10m.
Wabongo matapeli sana, unampa hela baadae unaenda kuidai hela polisi! Sio watu smart kabisa yani.
 
Boda boda anawekesa kiasi gani Utt ili naye aishi kibos akistaafu.?
Mada ni simple tu, unaicomplicate! Soko la pesa Sio kwa kila mtu in fact ni kama lipo kwa ajili ya matajiri tu. Haiingii akilini niweke 10 mil Utt halafu nisubiri faida ya 1 mil baada ya mwaka! Ila tajiri anaweza subiri gawio la 100mil kwa mwaka kama kaweka 1 billion utt.
ukiweka 15000 kila mwez kwa miaka 30 , mwingine akaweka 30,000,000 kila mwez kwa miaka mitano amin usiamin huyu alieweka kidogokidogo muda mrefu ataoneoka na ukwasi wakutisha kuliko huyu milionea
financial illiteracy ndio iliotamalaki humu huwez kutegemea hela ya utt ulipie kodi mwakani kaeni vizuri na wenye uelewa wa hii kitu msikurupuke
 
Back
Top Bottom