Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

Jibu maswali yangu kwanza....hapa ni hoja kwa hoja.
Ndiyo mjadala wa kiungwana unavyoenda.
Hii ni kote sasa, nje na ndani na sio kusema soko la hapa bongo tu. Tena huko nje unaweza kuta rate ni ndogo kuliko hapa.

Kwanza hamna aliyesema utatajirika kupitia mutual funds au bonds
 
Watu wengi sana hatuna elimu ya haya mambo na ndio maana zinazalishwa zana nyingi sana za ajabu ajabu kama hizi

Shemeji yangu alifariki akaacha kama milioni 600 bank
Alikua na mke na watoto mapacha wawili.
Ukoo ulivutana sana nini kifanyike kuhusu na hizo hela

Mimi nikawashauri hela iwekwe Fixed acc bank iwe inatoa hela ya kujikumu hadi baadae tukitulia tutajua cha kufanya
makaka wakapinga sana kuwa huwezi kulaza hela nyingi hivyo bank ni UZEMBE

Mwisho wa siku ikaamuliwa
Mama mzazi apewe 50M.
Makaka 2 wapewe 100M wazungushe hela hadi watoto watakapo kuwa watu wazima
Mke wa marehemu akapewa 100M aanzishe biashara ya kujikimu
Halafu 300M ndio iwekwe fixed acc, rate yake ilikua 9.5%
Hapo kwa mwaka faida ni 28,500,000 na ikawa inagawanywa kwa miezi 12 ili ichukuliwe kila mwezi 2.3M

Baada ya mwaka tu mke wa marehemu biashara zake zote chalii 100M ikapotea.
Makaka wa marehemu ndio kabisa sijui walikwenda kununua mazao ikakatika 100M yote.

Sasa hivi familia ya marehemu wanaishi kwa kupokea 2.3M kila mwezi ya ile 300M kwenye fixed Acc, ndio pona pona yao vinginevyo wangeanza kuuza mali za marehemu
Watoto ndio kwanza wana miaka 10
Limepita AZIMIO hiyo hela asiguse mtu yeyote ibaki huko huko fixed Acc hadi watoto watakapo kwa watu wazima
Inabidi ushuhuda kama hizi watu waletewe waamini. Asante Sana kwa kushare...Jambo lolote ambalo limesimama imara kwa muda mrefu Lina misingi yenye manufaa hivo ni uamuzi wa mtu achukue au aache sio kupotosha wengine
 
Mkuu ni vizuri umeleta hi mada, watu wengi hawajui government bonds zinafanyaje faida au UTT utawasikia weka pesa UTT utapata faida kubwa hawajui masikini. Biashara ya hisa bonds fixed acc nk haziwezi kukulipa katika nchi kama Tanzania, yenye high lnflation rate, unstable exchange rate, low business transaction rate, unstable bank intrest nk ........

Wanao faidi hiyo finicial market ni wafanyabiashara wenye idol finance au wapiga dili kubwa ndo njia peke ya kuficha pesa zao ila wewe wenye kupata pension ya 100m uiweke benki upate 8% annually ni kupoteza pesa na muda.
Je ukiweka kwenye bond za seeikali za miaka 25 Kwa interest ya 15.95 vipi hapo?
 
1.Tanzania ina high inflation rate ?
-Yani rate ya 3.8 % ni high?
-The U.K,U.S.A,Germany,Spain,France yupi ana interest ndogo kuliko Tanzania

2.Hivi unajua kama Government Bonds za nchi kama zetu zinatoa faida kubwa kuliko nchi za G8
-Fuatilia bond yields zao halafu uje huku.

3.Unstable bank interest, tuoneshe hayo mabadiliko ya hizo bank interest...

4.Hakuna sehem ambayo zimewekwa Tangazo la kusema faida kubwa, huku mtu aweke hela ili kuzuia thamani ya hela isiporomoke...

haendi hivyo master mfano mmi nimemaliza std mwaka 2000 mpaka saiv ni miaka 24 unaweza kuniambia 100, 000,000 ya mwaka 2000 saivi ni milio kumi?
Ebu ni kujibu mwaka 2000, million 100 ungeweza kununua Fuso tipper engine 16 zenye carbin kubwa 5 na unabakiza balance kule Japan CIF ilikua $10,000 kodi TRA 2.5m exchange rate ilikua 1$ ni 1,100TZ shilling......sasa hivi 100m ya sasa unanunua fuso tipper mayaye au 16 moja tu mpaka Dar port 90 000,000 na unabakiza 10m ambazo zitaisha pia kwenye vibali na matayiri,.......kwahiyo hapa sio sehemu ya kuwekeza longtime investment inflation and unstable economic policies zina ua biashara, sasa hivi exchange rate ni 2300 kwa dollar moja mpaka december dollar itafika sh 3000 au zaidi pesa ya Tanzania inashuka kwa kasi na hamna vya shiria vya kiuchumu ku-recover huvi karibuni
 
Je ukiweka kwenye bond za seeikali za miaka 25 Kwa interest ya 15.95 vipi hapo?
Ni hasara hiyo 15% itatafunwa na hyper inflation rate ya Tanzania utarudushiwa pesa yako baada ya miaka 25, kama kipindi unaiweka ikua anaweza kununua gari Ist baada ya miaka 25 itawexa kununua matayari mawili ya piki piki ya boda boda, uchumi wetu ni unpredictable.
 
Lakini siutakuwa umaezalisha fedha kola semi annual kwa miaka 25
 
Ebu ni kujibu mwaka 2000, million 100 ungeweza kununua Fuso tipper engine 16 zenye carbin kubwa 5 na unabakiza balance kule Japan CIF ilikua $10,000 kodi TRA 2.5m exchange rate ilikua 1$ ni 1,100TZ shilling......sasa hivi 100m ya sasa unanunua fuso tipper mayaye au 16 moja tu mpaka Dar port 90 000,000 na unabakiza 10m ambazo zitaisha pia kwenye vibali na matayiri,.......kwahiyo hapa sio sehemu ya kuwekeza longtime investment inflation and unstable economic policies zina ua biashara, sasa hivi exchange rate ni 2300 kwa dollar moja mpaka december dollar itafika sh 3000 au zaidi pesa ya Tanzania inashuka kwa kasi na hamna vya shiria vya kiuchumu ku-recover huvi karibuni
unafikili watu financial market hawaangalii inflations ila wewe ndio unaangalia ?
 
Ebu ni kujibu mwaka 2000, million 100 ungeweza kununua Fuso tipper engine 16 zenye carbin kubwa 5 na unabakiza balance kule Japan CIF ilikua $10,000 kodi TRA 2.5m exchange rate ilikua 1$ ni 1,100TZ shilling......sasa hivi 100m ya sasa unanunua fuso tipper mayaye au 16 moja tu mpaka Dar port 90 000,000 na unabakiza 10m ambazo zitaisha pia kwenye vibali na matayiri,.......kwahiyo hapa sio sehemu ya kuwekeza longtime investment inflation and unstable economic policies zina ua biashara, sasa hivi exchange rate ni 2300 kwa dollar moja mpaka december dollar itafika sh 3000 au zaidi pesa ya Tanzania inashuka kwa kasi na hamna vya shiria vya kiuchumu ku-recover huvi karibuni
Mkuu jana rate ilikua TZS 2,608/USD, ni kweli tukicheza tutafunga mwaka na TZS 3,000/USD
 
Nilishasema humu kitambo, hizo biashara za UTT na bonds ukitaka uone pesa walau uwe na 500M ama zaidi ya hapo. Otherwise wenye hizo million 5 mpaka 10 fanyeni uchuuzi tu. You will make more money that way kuliko kusubiria gawio la laki hadi laki 5 mwisho wa mwaka.
Kutia 10m UTT sijui NICOL n.k ni heri ununue bajaj ikuletee hata laki 5 mpaka 6 kwa mwezi.
 
1.Je,kuna tangazo lolote limeshawahi kuwepo kuhimiza watu watatajirika kwa low risks financial markets...

2.Kuna umuhimu wa watu kuwa na uelewa wa financial markets ili kusambaza vipato vyao...
TANGAZO lolote tukipata kuhusu mambo ya utajiri unatakiwa uwe na uelewa mzuri juu ya kinachotangazwa otherwise wewe ndo utakuwa unawapa watu utajiri.
Utajiri sio kitu Cha kitoto
 
Mr Liverpool kitendo cha kusema tu June 2023, uzi ulitakiwa uishie hapo.
Kitendo cha kusema IQ option ukafanya forex tena kwa dollar 200.
Hapo tu uzi wako ulitakiwa uishie. Nakushauri, endelea na biashara yako ya milioni 40
Mm nimecheka kidogo niliposikia kwenye FX kapoteza $200 akaamua kuachana nayo[emoji23][emoji23][emoji23]
$200 serious???
 
Ebu ni kujibu mwaka 2000, million 100 ungeweza kununua Fuso tipper engine 16 zenye carbin kubwa 5 na unabakiza balance kule Japan CIF ilikua $10,000 kodi TRA 2.5m exchange rate ilikua 1$ ni 1,100TZ shilling......sasa hivi 100m ya sasa unanunua fuso tipper mayaye au 16 moja tu mpaka Dar port 90 000,000 na unabakiza 10m ambazo zitaisha pia kwenye vibali na matayiri,.......kwahiyo hapa sio sehemu ya kuwekeza longtime investment inflation and unstable economic policies zina ua biashara, sasa hivi exchange rate ni 2300 kwa dollar moja mpaka december dollar itafika sh 3000 au zaidi pesa ya Tanzania inashuka kwa kasi na hamna vya shiria vya kiuchumu ku-recover huvi karibuni
Ndiyo maana nilimwambia ukiwekeza sasa hivi UTT ukigemea upate million 400 miaka 30 ijayo itakuwa sawa na kupoteza muda maana hela hiyo kwa miaka 30 ijayo itakuwa sawa na 40 milion ya sasa.

Ni bora ununue shamba la ekari mia by that time wakiliuza wanaweza kupata 700 au billioni ambayo approximately inaweza kuwa sawa na 500 millioni ya sasa.
 
Shamba la hekari 100 ni sawa ila wizi wa aridhi ni mwingi sanaa litavamiwa tu,........ baada ya miaka 30 huenda ukabakiza hekari 1 au mbili kama hulitumii kulilima utakua umepoteza pesa bure bora uingie active bussiness
 
Ndiyo maana nilimwambia ukiwekeza sasa hivi UTT ukigemea upate million 400 miaka 30 ijayo itakuwa sawa na kupoteza muda maana hela hiyo kwa miaka 30 ijayo itakuwa sawa na 40 milion ya sasa.

Ni bora ununue shamba la ekari mia by that time wakiliuza wanaweza kupata 700 au billioni ambayo approximately inaweza kuwa sawa na 500 millioni ya sasa.
Kuna mabadiliko ya tabia nchi, baada ya miaka hiyo hilo shamba laweza kuwa sio kama sasa.

Alafu hiyo mifano yako unayopiga siyo sawa kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20240413-165828.png
    Screenshot_20240413-165828.png
    626.2 KB · Views: 19
Back
Top Bottom