Ebu ni kujibu mwaka 2000, million 100 ungeweza kununua Fuso tipper engine 16 zenye carbin kubwa 5 na unabakiza balance kule Japan CIF ilikua $10,000 kodi TRA 2.5m exchange rate ilikua 1$ ni 1,100TZ shilling......sasa hivi 100m ya sasa unanunua fuso tipper mayaye au 16 moja tu mpaka Dar port 90 000,000 na unabakiza 10m ambazo zitaisha pia kwenye vibali na matayiri,.......kwahiyo hapa sio sehemu ya kuwekeza longtime investment inflation and unstable economic policies zina ua biashara, sasa hivi exchange rate ni 2300 kwa dollar moja mpaka december dollar itafika sh 3000 au zaidi pesa ya Tanzania inashuka kwa kasi na hamna vya shiria vya kiuchumu ku-recover huvi karibuni