Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

Wakuu naomba ufafanuzi kidogo, hv mtu anawezaje kupata mkopo kupitia hii mifuko ya UTT,Nimesoma kuwa hii mifuko inaweza kusimama kama dhamana kwa mtu anayeomba mkopo
 
10M inakupa 1M kwa mwaka (12months)
1,000,000/12=83,333 kwa mwezi
83,333/30=2,777 kwa siku

Unatumia milioni 10 kutengeneza Tsh 2,777 kwa siku

uko sahihi kwenye sentensi yako ya kwanza 'Sidhani issue ya kuweka pesa utt ni kutafuta utajiri'

Baada ya kufatilia mjadala kwa kina nmegundua kuwa kila mmoja yuko sahihi😂😂
Huuu nao tuuite uvivu wa kufanya kazi yaani unaweka milion 10 mtaji upate faida 2,700 per day 😂😂,
 
Hawa mara nyingi wanakua na means nyingine ya kuingiza kipato, anaweka kama saving na sio kama unavofikiria
 
Itakuwaje una assets za 40M na unauliza hilo swali mkuu ????
Kaweke hizo pesa collateral upewe loan ya 500-600 M , waambie wazi kuwa unaenda kupurchase infrastructure bonds za serikali , pale hela wanakupa chapu tena sana .
10 year notes zinavuta interest ya 14% p.a ., sitakwambia nimewekeza ngapi ila kila mwaka naingiza interest tu ya between 200-320 M na principal ipo palepale.
Hasa hasa kwa mkopo nenda KCB bank , utaja nishkuru
 
Tafuta watu wakujibu mkuu kuna watu hawana finance literacy just ignore, watakutoa kwenye mada yako, ni wacheche wa kuelewa tu, mke wangu alinunua hisa NmB za 2m miaka 15 nyuma lakini mpaka leo hajawahi kupokea hata 500,000 kwa mwaka mimi nilio wekeza kwenye biashara ndo nimemuajiri tena... Finance market haowezi kutoa mtu kwenye umasikini ila inaweza kuendeleza wenye nacho sio masikini
Sasa hisa za milion 2 ndio unaanza kuja kupigia watu kelele.

Nikajua ni hisa za milion 100,

Unajua mwaka huu NMB ametoa gawio la shilingi ngapi Kwa Kila hisa ? Au unatokwa na povu Huna hata unalojua.

Nyie ndio wake zenu wanagongwa na kuhonga hovyo. Badala ufuatilie ujue gawio la mwaka huu NMB ilikuwa kiasi Gani unakuja kuonesha ulivyo mjinga eti mke wako hajawahi kupata gawio la NMB
 
Halafu mtu aliyewekeza NMB miaka 15 iliyopita leo ni taita mkubwa
 
Financial rule ilibadilika toka 1970,jifunze kufanya leverage katika uwekezaji wa pesa zako kwa kukuza uwezo wa Financial intelligence na Financial IQ yako..
Kuweka 500 m ili uje upate gawio la asilimia 15 kama faida ya pesa yako huo uwekezaji ni dhaifu na sio sahihi,hii biashara tuwaachie watakatishaji na mabilionea waliokosa mahali pa kupeleka hizo pesa.Million 500 UTT miaka 10 na Mill 500 physical investment miaka 10.Kuna asilimia 80 physical investment atashinda faida mara 10 ya UTT na wenzake..
 
Itakuwaje una assets za 40M na unauliza hilo swali mkuu ????
Kaweke hizo pesa collateral upewe loan ya 500-600 M , waambie wazi kuwa unaenda kupurchase infrastructure bonds za serikali , pale hela wanakupa chapu tena sana .
10 year notes zinavuta interest ya 14% p.a ., sitakwambia nimewekeza ngapi ila kila mwaka naingiza interest tu ya between 200-320 M na principal ipo palepale.
Hasa hasa kwa mkopo nenda KCB bank , utaja nishkuru
Nimerudia kusona,sijaambulia kitu.

Ulikuwa unamaanisha nini mkuu
 
Financial rule ilibadilika toka 1970,jifunze kufanya leverage katika uwekezaji wa pesa zako kwa kukuza uwezo wa Financial intelligence na Financial IQ yako..
Kuweka 500 m ili uje upate gawio la asilimia 15 kama faida ya pesa yako huo uwekezaji ni dhaifu na sio sahihi,hii biashara tuwaachie watakatishaji na mabilionea waliokosa mahali pa kupeleka hizo pesa.Million 500 UTT miaka 10 na Mill 500 physical investment miaka 10.Kuna asilimia 80 physical investment atashinda faida mara 10 ya UTT na wenzake..

Upo sahihi lakini kumbuka 500m physical yaweza potea kama mbosso na ubaki umedata😂😂😂
 
Back
Top Bottom