Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Watu wana toa wapi hela😄😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bond mkuuWakuu naomba ufafanuzi kidogo, hv mtu anawezaje kupata mkopo kupitia hii mifuko ya UTT,Nimesoma kuwa hii mifuko inaweza kusimama kama dhamana kwa mtu anayeomba mkopo
Mkuu Unaweza ukafafanua kidogo, na ni vigezo vikojeBond mkuu
Vigezo uwe ni M10 mkuu ujiunge na bond fund.Mkuu Unaweza ukafafanua kidogo, na ni vigezo vikoje
Anhaa okay mkuuVigezo uwe ni M10 mkuu ujiunge na bond fund.
😂😂 Watu wanabeti sheheWatu wana toa wapi hela😄😄😄
Huuu nao tuuite uvivu wa kufanya kazi yaani unaweka milion 10 mtaji upate faida 2,700 per day 😂😂,10M inakupa 1M kwa mwaka (12months)
1,000,000/12=83,333 kwa mwezi
83,333/30=2,777 kwa siku
Unatumia milioni 10 kutengeneza Tsh 2,777 kwa siku
uko sahihi kwenye sentensi yako ya kwanza 'Sidhani issue ya kuweka pesa utt ni kutafuta utajiri'
Baada ya kufatilia mjadala kwa kina nmegundua kuwa kila mmoja yuko sahihi😂😂
Hawa mara nyingi wanakua na means nyingine ya kuingiza kipato, anaweka kama saving na sio kama unavofikiriaHuuu nao tuuite uvivu wa kufanya kazi yaani unaweka milion 10 mtaji upate faida 2,700 per day 😂😂,
Hili group nalipataje mkuu
Nilipe 10000 nikuunganisheHili group nalipataje mkuu
Akili huna Baki naloNilipe 10000 nikuunganishe
Sasa hisa za milion 2 ndio unaanza kuja kupigia watu kelele.Tafuta watu wakujibu mkuu kuna watu hawana finance literacy just ignore, watakutoa kwenye mada yako, ni wacheche wa kuelewa tu, mke wangu alinunua hisa NmB za 2m miaka 15 nyuma lakini mpaka leo hajawahi kupokea hata 500,000 kwa mwaka mimi nilio wekeza kwenye biashara ndo nimemuajiri tena... Finance market haowezi kutoa mtu kwenye umasikini ila inaweza kuendeleza wenye nacho sio masikini
Halafu mtu aliyewekeza NMB miaka 15 iliyopita leo ni taita mkubwaSasa hisa za milion 2 ndio unaanza kuja kupigia watu kelele.
Nikajua ni hisa za milion 100,
Unajua mwaka huu NMB ametoa gawio la shilingi ngapi Kwa Kila hisa ? Au unatokwa na povu Huna hata unalojua.
Nyie ndio wake zenu wanagongwa na kuhonga hovyo. Badala ufuatilie ujue gawio la mwaka huu NMB ilikuwa kiasi Gani unakuja kuonesha ulivyo mjinga eti mke wako hajawahi kupata gawio la NMB
Nimerudia kusona,sijaambulia kitu.Itakuwaje una assets za 40M na unauliza hilo swali mkuu ????
Kaweke hizo pesa collateral upewe loan ya 500-600 M , waambie wazi kuwa unaenda kupurchase infrastructure bonds za serikali , pale hela wanakupa chapu tena sana .
10 year notes zinavuta interest ya 14% p.a ., sitakwambia nimewekeza ngapi ila kila mwaka naingiza interest tu ya between 200-320 M na principal ipo palepale.
Hasa hasa kwa mkopo nenda KCB bank , utaja nishkuru
Financial rule ilibadilika toka 1970,jifunze kufanya leverage katika uwekezaji wa pesa zako kwa kukuza uwezo wa Financial intelligence na Financial IQ yako..
Kuweka 500 m ili uje upate gawio la asilimia 15 kama faida ya pesa yako huo uwekezaji ni dhaifu na sio sahihi,hii biashara tuwaachie watakatishaji na mabilionea waliokosa mahali pa kupeleka hizo pesa.Million 500 UTT miaka 10 na Mill 500 physical investment miaka 10.Kuna asilimia 80 physical investment atashinda faida mara 10 ya UTT na wenzake..
Kwamba ukimuunganisha bure ni tatizo???Nilipe 10000 nikuunganishe