Tuongee UkweliI: Kazi za Local Government (Halmashauri) ni 'local' sana!

Uko sahii sioni sababu kuandika na kuwamabia watumishi kuwa hawana akili kufanya halmashauri mbna watu wengi tu wametusua kupitia hapo Happ Tena mm napenda kufanya Kaz ktk sehem Kam hzo za changamoto
Tofautisha changamoto na matatizo.

#YNWA
 
Labda uje nikufundishe wewe juu ya hili.


Punguza tabia ya baa medi kudandia mb** za wake za watu.

Nimeomba uniletee nyuzi
Halmashauri Halmashauri Madiwani Madiwani, Nina kimasters siheshimiki😁😁😁

Madiwani hawajasoma.

Anyway, tuma namba nikuwekee pesa ya kula leo mchana.

Maana Jana mmejadili, hamkutosheka. Leo tena umeleta tuendelee mlipoishia jana
 

Mbowe kafungwa mwanangu nilimsikia magu akisema.

#YNWA
 
Mbowe kafungwa mwanangu nilimsikia magu akisema.

#YNWA
Huo ndio ukamanda kwani Kuna shida.

Halmashauri Halmashauri Madiwani Madiwani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
Saa hii nilikua nalalamika au naomba Msaada.
Na nilipata mwanangu.

Na hayo malalamiko ya ngono?

Halafu usipende kutumia emoji naona kama ni mambo ya kike.

Eni way Sabaya nasikia ndio raisi ajae.

#YNWA
 
Dadavua na wachumi wa halmashauri.
 
Ila unakula sana Bata [emoji1658] hawana kazi kubwa hasa hizi Halmashauri za Mikoa midogo
Ni keep hawana kazi na ndio maana watu kama mleta mada wanakuwa na muda mwingi wa KUPIKA MAJUNGU, kuchunguza chunguza watu wa Idara fulani wako hivi,, Mara NJAA Kali Mara wanapiga hela.

Pamoja kuteta teta watu kwenye vijikao uchwara vya majungu.

Wangekuwa wanatumikishwa kama kwa Mhindi huo muda wa majungu na kuteta watu wangeupata wapi?
 
Malalamiko yapo kila sehemu Kaka hata sisi ambao tupo chini ya wizara bado tunafanyia isivyo stahili.unakuta mkuu wa kitengo na boss wanaandika majina ya watu wao kwenye madokezo kila Mara..mtu anakuwa anakazi tatu halafu wewe hata moja huna...NI kawaida tu ila halmashaur mko too local kwa kweli kuliko sisi wa serikali kuu.all in all vumilia TU mkuu Huku ukijiongeza na madeal mengine mtaani....just imagine Muhasibu anakupiga panga kwenye hela yako mambo ya ofisini tuyaache TU ofisini haina haja ya kusema mtaani au mitandaoni...bongo bahati mbaya
 
Hongera SANA Kwa kuwekeza kwenye Parachichi. Nipe kazi ya kupandia (kama unaongeza Miche) na kukuweka irrigation pipes ili uvune February-april na kwenye msimu mdogo wa august-Sept.
 
Hiyo link modes wameifungia kwa sababu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…