Tuongee UkweliI: Kazi za Local Government (Halmashauri) ni 'local' sana!

Tuongee UkweliI: Kazi za Local Government (Halmashauri) ni 'local' sana!

Sasa unataka SUA nzima ihamie TFSA?
Hizo nafasi za kutosha SUA yotee zipo?

#YNWA
Ila ni kweli [emoji1787][emoji1787] maana mimi mwenyewe ni fundi mwashi ila nilisoma misitu nadhani nilikamilisha ratiba wacha watu wabanane humohumo ila kama una bahati uwezekano na upenyo wa kuchagua pande mbili aisee upo huko sio kwa kwenda

Ila kama hakuna upenyo
Basi wanasema beggar is not a chooser
 
Umenigusa mbaya, proffesional yangu ni sheria , ila nimeajiriwa as mwalimu (postgraduate diploma), kuna muda nilitaka nafanyiwe recategorization , nilianza kuchunguza idara ya sheria kazi zao na maisha ya wanasheria hapo halmashauri , nilichokiona ni bora kuwa mwalimu niendelee kulima zangu ndizi, kahawa na parachichi tu na kufanya biashara zangu za mifugo , hapo halmashauri ni kupoteza muda na kupiga majungu
 
Umenigusa mbaya, proffesional yangu ni sheria , ila nimeajiriwa as mwalimu (postgraduate diploma), kuna muda nilitaka nafanyiwe recategorization , nilianza kuchunguza idara ya sheria kazi zao na maisha ya wanasheria hapo halmashauri , nilichokiona ni bora kuwa mwalimu niendelee kulima zangu ndizi, kahawa na parachichi tu na kufanya biashara zangu za mifugo , hapo halmashauri ni kupoteza muda na kupiga majungu
Wafanyakazi wa halmashauri wengi wana stress za maisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ndo mkajiongeze kirlimu mtolewe huko...
Kuna rafiki yangu ilibidi ahamie mjini... maana huko alipipangwa bado kidogo wamchukue msukule [emoji1787] nyumba aliyopewa ndo ilikua mazalia ya scorpions
[emoji1787][emoji1787]msekule kisa nini
 
Umenigusa mbaya, proffesional yangu ni sheria , ila nimeajiriwa as mwalimu (postgraduate diploma), kuna muda nilitaka nafanyiwe recategorization , nilianza kuchunguza idara ya sheria kazi zao na maisha ya wanasheria hapo halmashauri , nilichokiona ni bora kuwa mwalimu niendelee kulima zangu ndizi, kahawa na parachichi tu na kufanya biashara zangu za mifugo , hapo halmashauri ni kupoteza muda na kupiga majungu
Kama una Muhuri si uangalie fursa za firm ya law huko duniani?

#YNWA
 
Ndo mkajiongeze kielimu mtolewe huko...
Tafuta hela USISAHAU KUTAFUTA HELA.
Kuna rafiki yangu ilibidi ahamie mjini... maana huko alipipangwa bado kidogo wamchukue msukule [emoji1787] nyumba aliyopewa ndo ilikua mazalia ya scorpions
Something is better than NOTHING.
Wakienda wotee mjini "Wananchi wa vijijini" watahudumiwa na nani?

#YNWA
 
Jana bana ile tunakula lunch ghafla story za kui jadili ofisi yetu (Moja ya Halmashauri nchi) zikaibuka.

Aisee Kazi za Halmashauri ni local sanaa.

Ila hoja aliyoibua Rais Samia akiwa Mara, haiko mara tu.

Ipo TANZANIA NZIMA, Kila halmashauri ni kiazi kilichooza, ukitaka kuthibitisha hili KIBONYEZE UONE UVONDO UTAKAVYO TOKA.

Nakushauri Wewe ambaye unania/hamu/tamaa ya kufanya Kazi serikalini USIJE HALMASHAURI, labda uniambie kuwa "Uje kama stepping stone" ya kwenda kwengine.

Kwamba uje halmashauri upate cheki namba halafu ukafanye Kazi (kuhamia) huko kwengine.

Ila kubaki halmashauri HAPANA KWA KWELI.

1. Halmashauri hakuna competent
2. Halmashauri hakuna professionalism
3. Halmashauri mnaendeshwa na wasiosoma (baraza la madiwani)
4. Halmashauri ni kutumia ubabe tu
5. Halmashauri ulaji upo kwa Idara kadhaa wengine ni njaa tu.
6. Halmashauri ni full majungu
7. Uwe na cert, diploma, Bach, au masters ila ukiingia geti la halmashauri HAKUNA UTOFAUTI WOWOTEEEE.

Kifupi local government is real LOCAL..!!!

1. Idara ya Fedha.

Wahasibu.
Ukiwa upo humu, kila siku ni lawama.
Mara hamuwalipi watu posho zao.
Mara mnapendelea kupitisha madokezo.
Mara hamlipi vikao vya Madiwani.
Mara hamlipi mpaka mle rushwa yaani ni full LAWAMA tu

Afisa mapato.
Kuna hili janga la POS.
Usiombe likukute, utaona kweli uhasibu local government ni kisanga.

Afisa Biashara
Hii ndio Kazi ya kifal* hasaa.
Yaani mtu kasoma miaka yotee ili aje kufunga biashara za watu..!

Ukifanya hii Kazi kuna kila dalili ya kurogwa.

2. Idara ya ardhi na misitu

Afisa ardhi
Hawa wanalaumiwa na kuuza viwanja vya watu.

Afisa misitu na nyuki
Kukamata Mifugo ya watu (wavamizi wa maeneo tengefu ya hifadhi).

Hii Idara ni full kugombana na watu

3. Idara ya Utumishi.

DHRO
Ole wako ukutane na afisa Utumishi mwehu. Utajutaaa..!!!
Kazi inakua haina amani na ni mbayaaa.

RMO na Ma PS
Hawa ni kuliwa na mabosi wa halmashauri na wilaya.
Kama mkeo ni RMO au PS halmashauri basi POLEEEE

Watendaji
Awe wa mtaa/Kijiji au kata akili zao sijui ZIKOJE.
Na Wana madeni kibaooo ya POS.
Ukitaka kuona karaha yao hebu nenda ofisi zao kachukue huduma...
Dah ni kisangaaa..!!!!

Tehama
Huyu yaani alisoma vitu vikubwaa miaka kibao chuo ili kuja ku connect wire za MUSE, MFUMO WA MAPATO na KUDEAL na POS.

Yaani ma coding yotee sijui aliyasomea nini..!!!

4. Idara ya Mkaguzi wa ndani.
DIA (District Internal Auditor) huyu ni kisanga tu na bifu na wenzake.
Muda wotee ye ni kutengeneza hoja tu Tena nyengine HAZIFUNGIKI KABISAAA ila ANAZIIBUA...!!!

5. Idara ya Kilimo.
Yaani DAICO mwenyewe hata kulima halimi, na akilima ni Eka moja..!!!

Ma field officer (AFO) Kazi yao ni kushinda mjini.

Idara haina hela, Idara ya kimasikini balaaa.

6. Idara ya afya
Hii Idara ina hela, maana hela zao wao nyingi ni backet (sio own source).
Ila kama wewe ni mdada (Nesi/Dokta) upo huko mtaani (zahanati, kituo cha Afya, etc) ili Ule hizi hela basi kubali kuliwa na katibu.

Ukiwa mbishi kutoa uch* aisee utakufa masikini ukitegemea mshahara na rushwa za wagonjwa.

Ila ukitaka kula hela za wizara kama wewe ni mwanamke basi kubali kuliwa na DMO, Katibu, na wengine wa bomani..

7. Idara ya Mifugo na Uvuvi.
Idara ina njaa hasa.
Labda uwe field upate za kutibu na ziwani/baharini.

Ila ukiwa bomani ni njaa tu.

8. Idara ya engineer
Hawa eti walisoma miaka yotee mambo makubwaa ili kuja kusimamia ujenzi wa madarasa ya mil 21..!!!

Sasa zile complex fact za Shule sijui wanazitumia wapi huku halmashauri.

9. Idara ya Maendeleo
Hawa bwana ni Kazi ya kutengeneza tu deal za kula 10% za own source wakisema eti ni mikopo kwa wanawake, vijana na walemavu.

10. Idara ya elimu.
Kama wewe ni mwalimu wa kike na ukitaka kupata vijisemina na kusahihisha mitihani na kusimamia mitihani basi KUBALI KULIWA NA WATUMISHI WA IDARA BOMANI.

Ukijifanya mgumu ni kubaniwa kila kitu.

11. Idara ya Sheria
DLO (District Legal Officer) sijui hata Kazi yake ni nini halmashauri.
Bora wenye mihuri yao wanapata deal za kusimamia kesi huko nje ya Kazi.

Ila kama huna Muhuri my friend utakaa tu halmashauri kupiga soga tu.

IDARA NDANI YA HALMASHAURI ZOTEE NI MAJANGA yaani ZOTEEE.

Aisee halmashauri ni kisanga tu.

Watu hawafati professionalism kabisa.

Tena ukitaka kuona moto wajue wewe ni CHADEMA, My friend YOU WILL SUFFER IN SUFFERING CONDITION..!!!

Yaani halmashauri zotee sasa hivi ni za CCM halafu uwe CHADEMA, utakomaaa.

Sasa unajiuliza ""Kwani kuwaza tofauti ni DHAMBI?""

Njoo halmashauri, pata cheki namba then SEPAAA.
Huku sio kabisaaa.

Unakuta Diwani ni darasa la 7 kabisaa ila anakuendesha mwenye degree yako, Tena sometimes unampa ushauri kitaalamu ila anakua mbishiii...!!!!

Serikali kuu na Wizara hebu ZITAZAMENI HALMASHAURI VIZURI AISEEE.

Local government is REAL LOCAL.

#YNWA
Uzi mzuri Ila ma ps kuliwa na maboss kujiendekeza sawa na kusema maps wanavaa vimini na high hills hiyo zamani si kuhiz Zama zingine hizi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Watendaji
Awe wa mtaa/Kijiji au kata akili zao sijui ZIKOJE.
Na Wana madeni kibaooo ya POS.
Ukitaka kuona karaha yao hebu nenda ofisi zao kachukue huduma...
Dah ni kisangaaa..!!!!
Hapo nakuunga Mkono kabisa,wanatuwekea wananchi sehemu ambayo haina hata maana.!
Watendaji hoyeeeeee!
 
kama hujawai kufanya kazi kwenye Halmashauri huwezi kumuelewa mtoa mada ila alichoandika ni 100% true aisee local government ni balaa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom