Tuongee UkweliI: Kazi za Local Government (Halmashauri) ni 'local' sana!

Ni aibu sana watumishi wa umma mnakiuka viapo vyenu kwa kutoa siri za serikali.

Huu uzi nitahakikisha ninaufunga
 
Sasa bora mimi umenijua kabila. Sasa wewe unatumia jina la England na bado una hofu kutaja halmashauri humu
Broo hatutoi IDENTITY humu.
Ni kosa kubwa sanaaa kutoa ID yako.

#YNWA
 
Wewe jamaa Ni mtu wa MALALAMIKO sana.

Sioni kama una tofauti na hao unaowalalamikia.

Ninachoona hapa Ni were kunyimwa ULAJI tuπŸ˜†

Tena watu kama nyie ndio mnaofanya Halmashauri zinakuwa shida.
Diwani msiambiwe ukweli???

😁😁😁😁😁😁
 
Wewe jamaa Ni mtu wa MALALAMIKO sana.

Sioni kama una tofauti na hao unaowalalamikia.

Ninachoona hapa Ni were kunyimwa ULAJI tuπŸ˜†

Tena watu kama nyie ndio mnaofanya Halmashauri zinakuwa shida.

Mhe. Diwanani, Mwenyekiti wa kamati ya Siasa, Uchumi na Mazingira...
Nakusalimia tafadhali.

NIMEKUMISS SANAA MHE. DIWANI

Mkaruka 😘😘😘😘

mkaruka ataja rinu Huyu Diwani ni ndugu yako?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…