Tuongee UkweliI: Kazi za Local Government (Halmashauri) ni 'local' sana!

Sasa unataka SUA nzima ihamie TFSA?
Hizo nafasi za kutosha SUA yotee zipo?

#YNWA
Ila ni kweli [emoji1787][emoji1787] maana mimi mwenyewe ni fundi mwashi ila nilisoma misitu nadhani nilikamilisha ratiba wacha watu wabanane humohumo ila kama una bahati uwezekano na upenyo wa kuchagua pande mbili aisee upo huko sio kwa kwenda

Ila kama hakuna upenyo
Basi wanasema beggar is not a chooser
 
Umenigusa mbaya, proffesional yangu ni sheria , ila nimeajiriwa as mwalimu (postgraduate diploma), kuna muda nilitaka nafanyiwe recategorization , nilianza kuchunguza idara ya sheria kazi zao na maisha ya wanasheria hapo halmashauri , nilichokiona ni bora kuwa mwalimu niendelee kulima zangu ndizi, kahawa na parachichi tu na kufanya biashara zangu za mifugo , hapo halmashauri ni kupoteza muda na kupiga majungu
 
Wafanyakazi wa halmashauri wengi wana stress za maisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ndo mkajiongeze kielimu mtolewe huko...
Kuna rafiki yangu ilibidi ahamie mjini... maana huko alipipangwa bado kidogo wamchukue msukule [emoji1787] nyumba aliyopewa ndo ilikua mazalia ya scorpions
 
Ndo mkajiongeze kirlimu mtolewe huko...
Kuna rafiki yangu ilibidi ahamie mjini... maana huko alipipangwa bado kidogo wamchukue msukule [emoji1787] nyumba aliyopewa ndo ilikua mazalia ya scorpions
[emoji1787][emoji1787]msekule kisa nini
 
Kama una Muhuri si uangalie fursa za firm ya law huko duniani?

#YNWA
 
Ndo mkajiongeze kielimu mtolewe huko...
Tafuta hela USISAHAU KUTAFUTA HELA.
Kuna rafiki yangu ilibidi ahamie mjini... maana huko alipipangwa bado kidogo wamchukue msukule [emoji1787] nyumba aliyopewa ndo ilikua mazalia ya scorpions
Something is better than NOTHING.
Wakienda wotee mjini "Wananchi wa vijijini" watahudumiwa na nani?

#YNWA
 
Uzi mzuri Ila ma ps kuliwa na maboss kujiendekeza sawa na kusema maps wanavaa vimini na high hills hiyo zamani si kuhiz Zama zingine hizi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Watendaji hoyeeeeee!
 
kama hujawai kufanya kazi kwenye Halmashauri huwezi kumuelewa mtoa mada ila alichoandika ni 100% true aisee local government ni balaa 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…