Tuongee UkweliI: Kazi za Local Government (Halmashauri) ni 'local' sana!

Ubadirishwaji wa katiba ni muhimu Sana

Diwani awe mtu mwenye degree kuendea bila hivo tusitarajie maendeleo nchini
Katiba bila sisi wenyewe kubadilika ni kazi bure. Katiba haitzuia upigaji. Katiba haitatatuia hayo matatizo ya local gevernment being local. Katiba ni muongozo, na wanaotimiza yaliyo katika katiba ndiyo muhimu. Katiba nzuri isiyofuatwa ni sawa na kutokuwa na katiba. Mimi nakubali mabadiliko ya katiba yafanyike maana hiyo iliyopo haikidhi matakwa na matarajio ya wananchi, lakini tusijidanganye kuwa katiba bila sisi kubadilika haitaidia kitu. Sisi ndiyo tunatakiwa kufuata katiba lakini mara nyingi nchi zetu za KiAfrika, katiba ndiyo inafuata wakulu wanasema nini. Mimi naomba saana pamoja na kudai katiba mpya, elimu itumike kuwaelimisha watendaji na wanasiasa kuhusu umuhimu wa kuwajibika. Kuwajibika ndiko kutatukomboa. Kuwajibika ni pamoja na kuondoa kabisa kuijaza serkali na watu walewale. Kuwajibika ni pampja na kutambua kuwa kuna vikundi vya wakubwa ambavyo vimeajiri watu mitandaoni kuwatetea hata pale wanapofanya makosa. Leo hii siyo rahisi kuwagusa viongozi fulani bila kukutana na wateteaji ambao wako tayari kutoa mapovu, utadhani wanatetea kwa hiari kumbe wako kazini. Wewe sasa hivi mguse mtoto wa nje ya ndoa, wengine huita mtoto haramu uone utakayokutana nayo. Hebu mjaribu Nnauye uone kama utahilimili mashambuli. Hao wote wana watu wanaolipwa mitandaoni, hasa JamiiForums.
 
Ndio maana inaitwa Local Government, usitegemee zijiendeshe internationally wakati wanajiita local
 
Kaka upo sahihi yaani yote ni fact
 
Ndo mkajiongeze kielimu mtolewe huko...
Kuna rafiki yangu ilibidi ahamie mjini... maana huko alipipangwa bado kidogo wamchukue msukule [emoji1787] nyumba aliyopewa ndo ilikua mazalia ya scorpions


Uwe mjini
Uwe jiji
Uwe Kijiji
Local government ni local tu.

#YNWA
 
Natamani niwe chini ya wizara kuliko kubaki Halmashauri
 
Sio Halmashauri tu, idara nying za serikal hakuna professionalism kabisa, umesoma IT unafanya kaz ya Uhasibu

Kwenye maIT wa halmashauri huko ndio vituko zaidi[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…