Tuongee yajayo: Manzoki anaenda China kulipwa bilioni 1 kwa miezi 6

Tuongee yajayo: Manzoki anaenda China kulipwa bilioni 1 kwa miezi 6

Nimeitafsiri hii Habari kwa kingereza imenipa maana tofauti, kiswahili imenipa maana nyingine, kilingala imetofautiana na hao wengine. Ngoja nijaribu Kichina nione itaniletea tafsiri gani.

Eti not yet to be named club. Hatoi mtu pesa huyu anakwenda msimbazi free. Msitake kuforce biashara vipers hawaamini kama wanapoteza mcheza bulee
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji2] we jamaa boya kweli.. et umetafsiri kila lugha imekuja vingine [emoji3][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hivi watanzania ujinga utatuisha lini?? Kila siku unakuja na nyuzi za manzoki kwani Africa nzima Simba mmekosa mchezaji? Huyu manzoki ana maajabu yapi kumzidi kagere au mpole? Kawa mfungaji Bora misimu mingap?.

Punguza mihemko na vitu vya kawaida, huyu anaweza akaja na akafloap vibaya.
Huyo aliyeanzisha huu Uzi siyo Simba na Yanga aka Utopolo..huyo kupita siku bila kuitaji Simba kinyesi hakitoki.
 
Haya sasa haina shida mzungu wetu keshazoeana na team plus kiyombo, phiri, boko hao ndiyo strikers wetu ndugu zangu tuzoeee tu hali halisi

Hili la manzoki limekwisha sasa hata dirisha dogo december haji ni uongo , hela anayolipwa china ni nyingi sana nitashangaa sana kama atakubali kurudi nyuma kuchukua vimshahara vidogo labda kama pale mwanzoni watu wangekubali kutoa ile usd 200k tungekuwa naye

Huku aliahidiwa usd 8000k a month alikubali shida ikawa kutoa transfer fee watu wakawa wanavizia wampate bure sasa wachina kwa miezi 6 wanampa billion 1 wakati simba miezi sita angepata millioni 100
View attachment 2333631
UPDATES:View attachment 2334218
Na kweli binafsi nitashangaa kama atakataa hilo "deal la China"; kwani wachezaji wengi wa hizi nchi zetu, wanaangalia HAPA siyo PALE/KULE! Yaani wanaangalia ya sasa na wakati huo wakiburuzwa na hao mameneja wao. Mameneja wao wanataka kamisheni zao tu, BASI. Hawaangalii future ya huyo mchezaji,
 
Kwa hiyo atakuwa na mkataba wa miezi mitatu tu then anakuja simba
 
Back
Top Bottom