Tuongee yajayo: Manzoki anaenda China kulipwa bilioni 1 kwa miezi 6

[emoji3][emoji2][emoji2][emoji2] we jamaa boya kweli.. et umetafsiri kila lugha imekuja vingine [emoji3][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huyo aliyeanzisha huu Uzi siyo Simba na Yanga aka Utopolo..huyo kupita siku bila kuitaji Simba kinyesi hakitoki.
 
Na kweli binafsi nitashangaa kama atakataa hilo "deal la China"; kwani wachezaji wengi wa hizi nchi zetu, wanaangalia HAPA siyo PALE/KULE! Yaani wanaangalia ya sasa na wakati huo wakiburuzwa na hao mameneja wao. Mameneja wao wanataka kamisheni zao tu, BASI. Hawaangalii future ya huyo mchezaji,
 
Kwa hiyo atakuwa na mkataba wa miezi mitatu tu then anakuja simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…