Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
Njooni mbeya foleni hakuna wenye magari wote wanajulikana wakina mwakibete, mwakasungura yeye anagari tatu za kutembeleaFoleni ya Dar ni jambo la kujitakia. Nasema hivyo kwa sababu Dar haina magari mengi kama watu wanavyodhani. Watu walikuwa wame-relax bila kufikiria kesho na keshokutwa ni nini kitatokea. Hili tatizo ni kama tatizo la mafuriko. Huko nako watu walikuwa wamelala utafikiri miji inayojenga mitaro ni wajinga. Mji wowote bila mipangilio endelevu inakuwa na matokeo mabaya ambayo kuyarekebisha ni vigumu sana.