Kwa kipindi kifupi chini ya mwezi angalia mateso inayopitia Chadema.
1. Tundu Lissu akapewa kesi ya uhaini
2. Chama cha ubwabwa kikapewa uhai
3. Kuongeza nguvu kupambana na CDM
4. Msajili akazuia ruzuku ya CDM
5. Msajili hamtambui MNYIKA na wenzake
6. Viongozi kitaifa wamezuiwa kusafiri
7. CDM imezuiwa kufanya siasa siku 14
8. Mahakama na hukumu ya "ukanjanja"
9. Kufanyiwa fujo na vijana wa JKT waliotumwa na CCM/Mkuu wa wilaya
10.
LAST BUT NOT LEAST, SEE ATTACHED LIST OF CHADEMA SUPPORTERS/MEMBERS MURDERED AS PER TLS
Ongeza tuweke kumbukumbu sawa
But, we shall fight on the beaches by MMM