#Kupigwa na polisi wanachama walioenda kusikiliza kesi ya TAL kisutu.
FIkiria yote uliyoyaorodhesha, hiki Chama kinafanyiwa figisu zote hizi, zinazoonekana na ambazo hazionekani.
Na chama cha mashetani, ambacho kimejimilikisha Mahakama, Bunge, policcm na bado kinaiogopa Chadema ambayo haina dola ina Wananchi wenye mapenzi mema na wapenda haki.
Unaweza kuwa na kila kitu maishani, ila usipokuwa na amani, utulivu wa nafsi matokeo yake ndiyo haya. Pamoja na yote yaani ndani ya mwezi mmoja wamenikondeshea mtu Watanzania 🫡
#NO REFORMS NO ELECTION.
#FREE TUNDU LISSU. ✌️