wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
Mkuu siku ukija kuchukua mahindi songea ndio utajua naweza au siweziHahahahahah
Hauwezi mkuu
Size yako ni yule mammy baby na domo lake lile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu siku ukija kuchukua mahindi songea ndio utajua naweza au siweziHahahahahah
Hauwezi mkuu
Size yako ni yule mammy baby na domo lake lile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu nimemua pesa yangu ya dagaa yoote huyu mtoto ale
Anapatikana Elements pale masaki! Karibu kila weekend anapiga mzigo pale
HahahahahMkuu siku ukija kuchukua mahindi songea ndio utajua naweza au siwezi
Mkuu mimi nimemuona huyu hakika amegusa hisia zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njooo mjini mkuu
Mbona kuna watoto wakali zaidi ya huyo dj sema yeye kapata umaarufu uchwara.
Ahsante mkuu kwa kunitia moyo nikija mjini ntakutafuta uwe mwenyeji wangu si unajua songea mbaliHahahahah
Ngoja nisikukatishe harakati zako.
Maana watoto wa mjini njaa kali sana inawatesa Mkuu.
Hope ukiwa serious haichukui hata wiki mbili.
Trust me.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Aah kumbe wa kiume ngoja nifute kauli
Haina tatizo Mkuu.Ahsante mkuu kwa kunitia moyo nikija mjini ntakutafuta uwe mwenyeji wangu si unajua songea mbali
he he he he naomba ufanye kwa niaba yangu naomba uwe mjumbe wangu
siku hizi kinachoangaliwa nichapaa mamaa sio sura
Duuh kina watu wafukunyuku balaa..afanyr booking tu[emoji23]View attachment 405504email yake iyo for booking so anza mdogo mdogo
Ahsante sanaView attachment 405504email yake iyo for booking so anza mdogo mdogo
Malipo yangu [emoji134] [emoji134]Ahsante sana
Hakuna namna aanze na booking tuDuuh kina watu wafukunyuku balaa..afanyr booking tu[emoji23]
kwanini mimi na wewe tushawahi kushindwana?Malipo yangu [emoji134] [emoji134]
Hahaahahhh aya banakwanini mimi na wewe tushawahi kushindwana?
au unataka mpka watu wajue? waswahili mna shida sana mkifichwa hata kwenye chupa mtanyanyua kidole juu iliHahaahahhh aya bana
Mmh bas yameisha usifike uko [emoji134] [emoji134]au unataka mpka watu wajue? waswahili mna shida sana mkifichwa hata kwenye chupa mtanyanyua kidole juu ili
muonekane
Hip Hop chick kama alivyoandika kwa bio yake ni kweli wacha nami nifanye bookingView attachment 405504email yake iyo for booking so anza mdogo mdogo
haya yameisha bibieMmh bas yameisha usifike uko [emoji134] [emoji134]