Tupa kule Salama, huyu ndio Dj Sinyorita, muumba hapa aliumba

Tupa kule Salama, huyu ndio Dj Sinyorita, muumba hapa aliumba

Mkuu nimemua pesa yangu ya dagaa yoote huyu mtoto ale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Njooo mjini mkuu

Mbona kuna watoto wakali zaidi ya huyo dj sema yeye kapata umaarufu uchwara.
 
Mkuu siku ukija kuchukua mahindi songea ndio utajua naweza au siwezi
Hahahahah

Ngoja nisikukatishe harakati zako.

Maana watoto wa mjini njaa kali sana inawatesa Mkuu.

Hope ukiwa serious haichukui hata wiki mbili.

Trust me.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Njooo mjini mkuu

Mbona kuna watoto wakali zaidi ya huyo dj sema yeye kapata umaarufu uchwara.
Mkuu mimi nimemuona huyu hakika amegusa hisia zangu
 
Hahahahah

Ngoja nisikukatishe harakati zako.

Maana watoto wa mjini njaa kali sana inawatesa Mkuu.

Hope ukiwa serious haichukui hata wiki mbili.

Trust me.
Ahsante mkuu kwa kunitia moyo nikija mjini ntakutafuta uwe mwenyeji wangu si unajua songea mbali
 
he he he he naomba ufanye kwa niaba yangu naomba uwe mjumbe wangu

siku hizi kinachoangaliwa nichapaa mamaa sio sura
Screenshot_2016-09-23-12-07-54.png
email yake iyo for booking so anza mdogo mdogo
 
Back
Top Bottom