Tupac alikosea, Biggie nae alikosea ila Diddy na Suge ndio mashetani

Tupac alikosea, Biggie nae alikosea ila Diddy na Suge ndio mashetani

Hii watu ambao si wafuatiliaji hawawezi kuelewa..ukweli ni kwamba B.I.G alikuwa noma..pac alikuwa hamuwezi yule bonge..pac alibebwa na zile harakati zake,waangalie hata waliokuwa washkaji wa notorious leo hii walivyo hot
100%
 
Hizi ngoma huzijui mkuu.
Gheto gospel
Ambition az ridah
Dear mama
Only god can judge me
Changes
Halafu mbona kama big ndio alikuwa anaimba nyimbo za disko sana
Huyo jamaa hajamsikiliza vizuri 2Pac. 2Pac aligusa nyanza zote za maisha kuanzia Siasa, familia mpaka gang life.
 
Jini kwenye kuandika zile yo mazafaka,mkuu 2pac anaimba kuhusu mademu,pombe,umalaya,kamali,disko,kuuwana na mambo mengi lakshari...
THE B.I.G Anaimba haso,maisha,fyucha,mafukara,matajiri,elimu,usaliti,utamaduni wa mtu mweusi na maendeleo yake...
BIGGIE Dah,kamsikilize big halafu urudi hapa..
Suggest me some hits za biggie nikachek mzeee
 
CHRISTOPHER GEORGE LATORE WALLACE...

BIGGIE SMALL..
BIG POPPA..
B.I.G..
BIG FRANK WHITE..
THE NOTORIOUS..
THE HYPONATIZED..
THE JUNIOR MAFIA..

B.I.G NOTORIOUS,THE G.O.A.T HIMSELF
It Was All The Dream.

BIG POPPA.
 
Admin anaombwa source anaingia mitini hizi stori zimekua nyingi kila mtu anasema lake kila Leo, mara Illuminati, mara CIA, mara FBI, mara sijui Sean combs mara Suge Knight's yaani Ili mradi basi TU.

Wekeni source sio mnatukanana mpk mama zenu Lisa thread huo ni ushamba.

Sent from my CPH2385 using JamiiForums mobile app
Mzee naona unaleta ugomvi wa bure tu kwa moyo wako,unajua fika Tupo Tanzania na hawa jamaa wala hawako Marekani,sasa wanawezaje kuwa na chanzo cha uhakika cha vifo vya hawa jamaa wakati ata chanzo kifo cha Ben saanane mpaka sasa hawajui?
Soma jifunze tu mana na wao wana copy na kupesti.
 
Jini kwenye kuandika zile yo mazafaka,mkuu 2pac anaimba kuhusu mademu,pombe,umalaya,kamali,disko,kuuwana na mambo mengi lakshari...
THE B.I.G Anaimba haso,maisha,fyucha,mafukara,matajiri,elimu,usaliti,utamaduni wa mtu mweusi na maendeleo yake...
BIGGIE Dah,kamsikilize big halafu urudi hapa..
Acha vichekesho basi
Flavor flows utazipata kwa Biggie
Message utazipata kwa Pac
Anza na dear mama,brenda's got a baby,keep ya head up.
All gangsta rappers at some point rap about guns,bitches and money.
 
Vimelea!? Nani amezungumzia vimelea hapa!? Hapa tunazungumzia chembe za kemikali zenye mionzi yaani radioactive.
Leteni habari iliyokamilika yenye source na citation. Vinginevyo ni bla bla tu.
 
Leteni habari iliyokamilika yenye source na citation. Vinginevyo ni bla bla tu.
Labda inahitajika kipande cha radiactive Uranium kiwekwe kwenye mto unaolalia kisha itajulikana matokeo yake baada ya muda.
 
Mwenzio kasema kansa ilikuwa kwenye vimelea. Wewe unakubali hilo?
Vimelea ni vidudu vya magonjwa. Ila kansa mpaka sasa hakuna uthibitisho kuwa inaweza kuwa inasabishwa na vimelea pia nje ya sumu za kemikali.
 
Acha vichekesho basi
Flavor flows utazipata kwa Biggie
Message utazipata kwa Pac
Anza na dear mama,brenda's got a baby,keep ya head up.
All gangsta rappers at some point rap about guns,bitches and money.
PAC ananyimbo zaidi ya 650+ mainstream,chache ndio zipo dedicated kama hizo ulizo mention...lakini nyingi ni lakshari na mazafaka kibao...
na mashabiki walimpenda kwa ngoma hizo za kisela...

Amini unachoamini mkuu,lakini mimi kama MAWEED Npo upande wa kulia kwa B.I.G NOTORIOUS....
 
Back
Top Bottom