Tupac alikosea, Biggie nae alikosea ila Diddy na Suge ndio mashetani

Tupac alikosea, Biggie nae alikosea ila Diddy na Suge ndio mashetani

Mi
PAC ananyimbo zaidi ya 650+ mainstream,chache ndio zipo dedicated kama hizo ulizo mention...lakini nyingi ni lakshari na mazafaka kibao...
na mashabiki walimpenda kwa ngoma hizo za kisela...

Amini unachoamini mkuu,lakini mimi kama MAWEED Npo upande wa kulia kwa B.I.G NOTORIOUS....
Mimi sipo kiushabiki bali nakupa facts
Unless humjui Biggie Smalls
Motherf*cker ni neno linalotumiwa na gangsta rappers wote...
Kwa taarifa yako Biggie alikuwa sela hata pengine kuliko Pac
Nitajie wimbo mmoja wa Biggie wenye message.
Kazisikilize tena READY TO DIE na LIFE AFTER DEATH
Pia sikiliza nyiimbo za na junior mafia clique
 
Hakuna fact unayoijua wewe mkuu...
Mazafaka ni swagger kwao,ila PAC aliifanya kama verse...

ndio maana huko juu kuna mtu nilimueleza kuwa maneno kama hayo kwenye gangstar rap ni kawaida..
 
Labda inahitajika kipande cha radiactive Uranium kiwekwe kwenye mto unaolalia kisha itajulikana matokeo yake baada ya muda.
Mkuu una kichwa kigumu sana. Ishu ni Bob kuwekewa hiyo uranium. Leteni ushahidi kwamba aliwekewa hiyo sumu.
 
Vimelea ni vidudu vya magonjwa. Ila kansa mpaka sasa hakuna uthibitisho kuwa inaweza kuwa inasabishwa na vimelea pia nje ya sumu za kemikali.
Dah! Kama hata hujui kansa inasababishwa na nini then tunapoteza muda.
 
Hakuna fact unayoijua wewe mkuu...
Mazafaka ni swagger kwao,ila PAC aliifanya kama verse...

ndio maana huko juu kuna mtu nilimueleza kuwa maneno kama hayo kwenye gangstar rap ni kawaida..
Mbona argument yako ni nyepesi sana..
Obviously you don't know hip hop and rappers...
Am out
 
Hata siku moja nakukataza...
2pac ni maarufu kwa lifestyle yake ya kigangster na uhuni mwingi...

Ila kama unataka melody,bars,poetic,flows na reflections msikilize B.I.G NOTORIOUS..
Fuatilia historia vizuri, pac ndo chanzo cha big kujulikana na hata hvo n kwel bg aliwah kuwa mwanafunz wa pac
 
Back
Top Bottom