Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,209
Reaction score
2,243
Binafsi naona hawa jamaa hawastahili kuwa kings of hip hip, vifo na media ndio vimefanya wawe overrated ila ndo kwanza walikua wanaanza kuishika game sidhani kama wangekua hai hadi leo wangekua respected sana kama ilivyo sasa. Wewe unaonaje?
images%20(30).jpeg
 
Walikuwa Violent sana hasa Tupac na Suge Knight na waligawa jamii ya waafrika nchini Marekani....hasa makundi kama Blood and Clip vijana wakawa wanauana sana......nadhani hata vifo vyao kuna mkono wa Serikali ya Marekani
Tupac was the best kwa kweli japo si mpenzi wa hip hop ila nikisikiaga nyimbo zake zinanibamba, ila kitabia aisee ingekuwa ni hapa kwetu tungesema alilelewa uswahilini, alikuwa na uswazi mno
 
hao jamaa waligwa nchi katika vipande viwili na kuimpose bifu kubwa usifanye mchezo nao sheikh. wangekuwepo hadi leo hii maybe kungekua na WUSA(WEST USA) NA EUSA (EAST USA) who knows!
Mbona bifu ya east coast na west coast hata kabla Tupac hajaenda deathrow.
 
Walikuwa Violent sana hasa Tupac na Suge Knight na waligawa jamii ya waafrika nchini Marekani....hasa makundi kama Blood and Clip vijana wakawa wanauana sana......nadhani hata vifo vyao kuna mkono wa Serikali ya Marekani
Umeona Tupac alikua mhuni sana na known clip member naweza sema PAC ni kati ya watu waliofanya hip hop uonekane mziki wa kihuni.
 
Tupac angekuepo mpaka leo angekuwa bilionea kama walivo kina jay z p ddy dr dree na angekuwa zaid ata yao
Mtu mwingine tupac babu si pow
Sidhani angeishia jela yule jamaa serikali ilimuandama sana kwa sababu ya Thug life kama wanavomfanyia Suge.
 
Pac alikuwa mtu hatari!! Acha awe king tu wa hip hop heshima inamfaa, mie naona yeye ndio kama alibadilisha game kutoka ile style ya kurap ambayo dunia nzima ilikuwa inatumia mpaka ikawa kila mtu anarap anavyojisikia!! Ndani ya umri mdogo alifanya mambo makubwa katika game ya hip hop!!

Mziki kama mziki ninavyotafsiri mimi mziki ili uwe mzuri aidha uwe unasikilizika(kuburudisha) ama uwe unafunza(maneno fulani kuntu) au uwe na vyote.

1. Kusikilizika music, namaanisha uwe mtamu masikioni, hapa hata km mtu haelewi mashairi, haelewi kilichoimbwa, lakini uwe mziki mtamu masikioni utapendwa, kina psy na gungnam style, sijui usiniseme kama napenda kula kina ali kiba, sijui despacito, unakuta mtu hajui kilchoimbwa au mashairi hayana kitu ila kwakuwa ni mtamu masikioni mwake unakuwa mziki mzuri

2.kufundisha, sijui nitumie neno kufundisha ama nisemeje sijui hapa nazungumzia mashairi kuwa mazuri, yaani mtu anaupenda muziki kwa mashairi na sio kusikilizika masikioni,hapa inalenga wanaoelewa mashairi, unamkuta mtu anapenda nyimbo fulani we unaweza kuita wa kawaida kumbe ni mtu anasikiliza message ya mule!

Hip hop kama hip hop imebase kwenye mziki mzuri wa aina ya pili, wasikilize kina fid q, sijui jigga, eminem, kendrick na wengineo utanielewa hapa, hata kama mziki sio mtamu masikioni ila mashairi yake tu yanamfanya mtu akakipenda kitu..

Turud kwa tupac, pac alikuwa na mziki mzuri kwa kusikilizika hata kama huelew kinachoimbwa na mashairi mazuri kwa pamoja
Sikiliza
Dear mama
I aint mad at cha
Untill the end of time
Keap ya head up
So many tears
Change
Me n my girlfriend

Nakadhalika nakadhalika.

Binafsi namuelewa mno pac anahitaji heshima yake, naamin jamaa alikufa akiwa bado hajafikia kilele chake, ndio kwnza alikuwa anasogea kwenye peak yake sijui angeipata peak yake ingekuwaje, now angekuwa na heshima zaidi, sijui kama asingekuwa mwanamuziki milionea pia, tizama toka alipoanza mpaka kifo chake jamaa alikuwa kwenye graph yake ndio kwanza anapanda.
 
Back
Top Bottom