kingundya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 2,000
- 3,352
Wakati huo
1996 Jay z hakuwepo?Jay Z
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1996 Jay z hakuwepo?Jay Z
Inawezekana huyo uliyemtaja aliwahi kuishi Arusha, sina uhakika. Ambacho nina uhakika nacho ni kwamba hakuna member wa The Outlawz aliyewahi kutoroka na kuja kuishi Tanzania.Umejaribu kumjibu ila ntawasaidia sehemu mbili...kuhusu alietorokea arusha nadhani anamsema baba wa ubatizo wa 2pac ambae alikua member wa black panther
Geronimo pratt..huyu alifungwa na ikaja kugundulika baadae kafungwa kimakosa
Akalipwa ndio akahama marekani na kuja arusha akimfata mwanaharakati mwingine ambae alihamia arusha kuja kumfata nyerere miaka ya nyuma nyerere alipowaconvice...la pili
2pac kuna wakati alikua anahang na BLack mafia pia haitian Jack na kuna mmoja yule wa new york simkumbuki jina ambae alimset pia wakati flani pac akavamiwa pale quad studios...alikua mshkaji wa pdidy...hawa hawakua wazuri ndio maana pac aliwaacha
Unamjua king TutInawezekana huyo uliyemtaja aliwahi kuishi Arusha, sina uhakika. Ambacho nina uhakika nacho ni kwamba hakuna member wa The Outlawz aliyewahi kutoroka na kuja kuishi Tanzania.
Ni kweli Pac alikuwa ana-hang na some street dudes kama Haitian Jack, lakini Pac kama yeye hakuwa na tabia za streets na kama ulivyosema baadaye aliamua kuachana nao watu. In fact Haitian Jack ni mmoja wa watu waliosababisha Pac ashtakiwe na hatimaye kufungwa kwa kesi ya kubaka.
Mi najua alikuwa Pharao wa Misri.Unamjua king Tut
King tut alikua black mafia....si black mafia family...Mi najua alikuwa Pharao wa Misri.
Nimefuatilia. Walter "King Tut" Johnson alikuwa drug dealer (sio drug lord). Inasemekana ni mmoja kati ya shooters waliotumwa na Jimmy "Henchmen" Rosemond kumvamia Pac na kumpiga risasi 5 kwenye lift Quad Studios.King tut alikua black mafia....si black mafia family...
Ila mtafute na jimmy henchman
Umtafute na keneth griff...huyu griff ndio alituma watu wampige fifty risasi ila pia aliwahi kuwa na beef na 2pac
Pia msome strech sio treach wa naughty by nature...
Haitian jack najua unamjua...
Ukiwasoma hao kuna kitu utakijua...
Swali dogo tu, nipsey kapata hadhi ya tupac!?Wengi tu sema mtu akifa anaongezewa heshima flani mfano juzi juzi tu Nipsey Hussle.
Jamaa walikuwa na vipaji vizuri sana, ila ndio hivyo shetani aliwateka, kuwatumia na kuwaua mapema mno.Binafsi naona hawa jamaa hawastahili kuwa kings of hip hip, vifo na media ndio vimefanya wawe overrated ila ndo kwanza walikua wanaanza kuishika game sidhani kama wangekua hai hadi leo wangekua respected sana kama ilivyo sasa. Wewe unaonaje?View attachment 1137104