Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Mkuu ilikuwa vipi jamaa kumtukana Dre ,wakati anakata roho ,chimba kidogo mkuu
Eazy E alikuwa muhuni sana na alikuwa anachana pia

Washkaji zake wa karibu sana walikuwa ni Ice Cube, Mc Ren Yella na Dr. Dre, wakati huo Snoop yupo nyumbani kwao hana hata ishu.

Eazy E alikuwa mtafutaji na alitumia muda na pesa zake kuimarisha kundi lao la Niggaz With Attitude (N.W.A)

Baadae Dr. Dre akamsnitch jamaa baada ya Dre kupata pesa kiasi na akaanzisha kundi lake...mbaya zaidi akamdiss Eazy kuwa kuna siku Eazy alienda kudowea chakula nyumbani kwake na sasa amekuwa masikini

Hicho kilimuuma sana Eazy E na baadae Eazy alipata maambukizi ya HIV kwasababu alikuwa anatembea na mwanamke muathirika anayejiuza ambaye pia kina Dre walikuwa wanamfahamu na kumdharau pia alikuwa anawasambazia madawa (kumbuka katika kundi lao walikuwa hawataki kuoa na walikuwa wanapiga sana wanawake)

Baadae naye Eazy akatunga nyimbo za kumtukana Dre na Snoop kuwa wamepata pesa na kumtelekeza na hata kwenye Interviews nyingi alimtukana sana Dre na snoop

The real Muthaphuking n.k

Ukifuatilia kiuhalisia ni kwamba baada ya vipimo vya Eazy E kujulikana ana ngoma na alivyoanza kuzidiwa na kulazwa hospitalini kina Dre walimtelekeza kabisa na kumuimba vibaya, na wakati huo ''Dearth Row'' ya kina Snoop, Tupac na Dre ndio ilikuwa habari ya Compton - California

Watu ambao walikuwa wana Ule ushkaji wa KWELI kipindi hicho ambao Eazy E hakuwadiss ni Tupac na Ice Cube.
 
Suge Knight alimforce eazy kuvunja mkataba na Dre ili awechini ya death row, apo nilijua icho ndo chanzo cha ugomvi wake but kwa snoop sikujua walianziana nini Na eazy , Ila ata ice cube alimdis eazy e kwenye no verseline , Tupac , eazy Na cube sizani Kama walikuwa washikaji unaweza ukachimba pia mkuu tupate madini
Eazy E alikuwa muhuni sana na alikuwa anachana pia

Washkaji zake wa karibu sana walikuwa ni Ice Cube, Mc Ren Yella na Dr. Dre, wakati huo Snoop yupo nyumbani kwao hana hata ishu.

Eazy E alikuwa mtafutaji na alitumia muda na pesa zake kuimarisha kundi lao la Niggaz With Attitude (N.W.A)

Baadae Dr. Dre akamsnitch jamaa baada ya Dre kupata pesa kiasi na akaanzisha kundi lake...mbaya zaidi akamdiss Eazy kuwa kuna siku Eazy alienda kudowea chakula nyumbani kwake na sasa amekuwa masikini

Hicho kilimuuma sana Eazy E na baadae Eazy alipata maambukizi ya HIV kwasababu alikuwa anatembea na mwanamke muathirika anayejiuza ambaye pia kina Dre walikuwa wanamfahamu na kumdharau pia alikuwa anawasambazia madawa (kumbuka katika kundi lao walikuwa hawataki kuoa na walikuwa wanapiga sana wanawake)

Baadae naye Eazy akatunga nyimbo za kumtukana Dre na Snoop kuwa wamepata pesa na kumtelekeza na hata kwenye Interviews nyingi alimtukana sana Dre na snoop

The real Muthaphuking n.k

Ukifuatilia kiuhalisia ni kwamba baada ya vipimo vya Eazy E kujulikana ana ngoma na alivyoanza kuzidiwa na kulazwa hospitalini kina Dre walimtelekeza kabisa na kumuimba vibaya, na wakati huo ''Dearth Row'' ya kina Snoop, Tupac na Dre ndio ilikuwa habari ya Compton - California

Watu ambao walikuwa wana Ule ushkaji wa KWELI kipindi hicho ambao Eazy E hakuwadiss ni Tupac na Ice Cube.
 
Tupac alikuwa vizuri shida tu matusi alizidisha kwa kweli nyimbo nzima unakuta matusi tu.
Japo baadhi aliimba fresh na huwa nazikubali sana
Kama dear mama, changes na baby dont cry.
Ila nyingine nyingi matusi mengi kwa kweli.
Halafu ndo mtegemee Diamond PLATNUMZ awaelimishe watoto zetu kwenye nyimbo zake?
 
Hawakuzwi mkuu ila ukweli ni kuwa kama hapo ndo kwanza safari walikuwa wanaianza je huko mbeleni ingekuwaje?!
Ni wasanii wangapi unaowajua ambao walipokuwa wanaanza waliweza kuwa & impact kama ya hawa jamaa?
Walikuwa na maboko yao tele yasiyo & maana Ila sifa yao wapeni aisee..

Tupac was a poet...Biggie a story teller.
Mpaka leo no wachache sana wanaoweza tembea levo hizo
 
Eazy E alikuwa muhuni sana na alikuwa anachana pia
Washkaji zake wa karibu sana walikuwa ni Ice Cube, Mc Ren Yella na Dr. Dre, wakati huo Snoop yupo nyumbani kwao hana hata ishu.
Eazy E alikuwa mtafutaji na alitumia muda na pesa zake kuimarisha kundi lao la Niggaz With Attitude (N.W.A)
Baadae Dr. Dre akamsnitch jamaa

Eazy E alikua ndio boss wa NWA alikua mjanja mjanja kwenye Pesa ndio kisa cha kugombana na Ice Cube! Kuhusu dre nikama jamaa alivyosena hapo ni utata wa suge kumlazimisha amuachie dre toka ruthless ili suge amsaini deathrow,
Nyakat za mwisho kabla Eazy E ajafa alipatana na Ice cube pamoja na dre, na waliongelea kuhusu kuirudisha tena NWA . ila ndio vile jamaa akafa.

Tafuta movie moja inaitwa STRAIGHT OUTTA COMPTON ya 2015 mule wameonyesha maisha ya mwanzo kabisa ya memba wa NWA Nakila mtu alipotokea, bifu zao hadi kusambaratika kwao. harakati za suge kutoka kwenye u bodyguard hadi kumiliki death row na mwisho kifo cha EAZY E na dre kuitema death row ajili ya utata wa suge. stori zilitoka kwa members wenyewe na mwisho Cube na dre wanaonekana wakiongelea hiyo movie kwaio aina stori zakubumba.
 
Huyo BIG namjua kwa picha ila sijui nyimbo yake hata 1....2pac ndio najuamo ka wimbo ka DEAR MAMA na PACS LIFE mpk na kuimba naziimba zote sijui kwasababu gani...ila sina nyimbo nyngine nayoijua ya 2pac.

Nawaangalia tu na ligi yenu wana hip hop NGUMU NGUMU
 
Jay Z, Nas na Eminem

Nimelike kwa sababu inaonekana unasikiliza music especially hiphop maana hao jamaa uliowataja ni wamoto kwa kweli lakini unapoongelea 2pac ni moto mwingine yani king always.
 
Ni Eazy E...sio Easy E

Alimtukana Dre mpaka anakata roho kutokana na HIV

Alizikwa na jeans, raba, T-shirt kubwa na kofia yake ya NW

Huyu alikuwa na watoto zaidi ya 10 kwa wanawake tofauti.
Sio NW ni N.W.A
 
Biggy alikuwa namba nyingine aisee! !wanastahili sifa zote wanazopewa
 
Huwezi kuwa elewa kama huna akili... siasa za wadhungu zimechangia kwa vifo vyao
 
Tupac na Notorious BIG walikuwa violent kweli, makundi yao yalikuwa ya kihuni Sanaa

Lakini hakuna muhuni kabla yao kama EAZY E then ndio kina DRE na 2PAC

NI KWELI, Vifo vyao vilifanywa na serikali ya marekani....askari wa kizungu ndio aliyempelekea rafiki yake Wallace risasi za kumshoot Tupac usiku ule Tyson akiwa anajiandaa kuingia ulingoni

Huyohuyo akatengeneza mazingira ya BIG kuuwawa.

Hata wale washkaji zake Tupac aliochana nao kwenye nyimbo nyingi...wale. Wahuni wote waliokuwa wanajiita Idd Amin, San Abacha, Mobutu n.k. wote walikuja kuuawa kinamna namna.....!

Mmoja wao alitoroka akaenda kuishi Nairobi then akaishi Arusha, pale uzunguni nyumba yake ya ghorofa moja inaangaliana na uwanja wa uzunguni pale karibu na shule ya Prime...!

Yeye ndiye alikuwa anawapa itikadi na kampani kina JCB, Spark na wana hiphop wa mwanzoni Arusha.

Hahaha...alikuwa anasema wazi kabisa akiwa serious kuwa ukikuta Mtu mweupe (Mzungu) mahali popote muue tu, na alishamtemea mate usoni mzungu pale mbele ya NBC bank akiwa anatoka nje.

Kauli yake ilikuwa ''Just kill them All n I ll take your case''

Alikuja kuwa rasta na mama yake ni Mjamaica.

Ukipata wasaa wa kukutana naye atakueleza mengi sana kuhusu BIG na 2PAC na vifo vyao na atakuonesha picha tangu wakiwa wadogo shuleni na kina 2pac.

Ni nani huyu aliishi Arusha
 
Hata wale washkaji zake Tupac aliochana nao kwenye nyimbo nyingi...wale. Wahuni wote waliokuwa wanajiita Idd Amin, San Abacha, Mobutu n.k. wote walikuja kuuawa kinamna namna kasoro yule Ustadh wa Saudi Arabia now.....!

Dah, we jamaa ni muongo sana.
 
Sasa Ainisha Uongo wangu hapa hapa
Uongo no. 1
Tupac na Biggie walikuwa violent.

- Tupac na Biggie hawakuwa violent wala hawakuwa na makundi ya kihuni. Hakuna ushahidi wowote (ukiacha tukio la Pac kumshambulia Orlando Anderson, ambalo ndilo lilipelekea kuuawa kwake) kuonyesha Pac au Biggie kufanya violence kabla ya vifo vyao.

Uongo no. 2
Serikali ya US kuhusika na vifo vya Pac na Biggie

- Hakuna ushahidi wowote wa Serikali ya US kuhusika kuwaua Pac na Biggie. Dunia nzima inajua aliyemshoot Pac na hakuwa na urafiki na Biggie hata siku moja.

Uongo no. 3
Members wote wa Outlawz kuuawa

- Hapa najua unawaongelea The Outlawz, kikundi cha wasanii vijana ambao walikuwa washkaji zake Pac na aliwashirikisha kwenye nyimbo zake nyingi. Kwanza hakuna aliyekuwa anajiita Mobutu wala Abacha, majina yao ni Yaki Khadaffi aka Yaki Fula, E.D.I Mean, Hussein Fatal, K Kastro, Young Noble na huyo uliyesema kuwa ni ustaadhi ambaye zamani alijiita Napoleon lakini sasa anajiita Mutah Beale.
Katika hao waliokufa ni Yaki Fula ambaye aliuawa huko New Jersey mwaka 1996 kwa kupigwa risasi na ndugu wa member mwingine wa Outlawz (Napoleo). Hakuna ushahidi kwamba kifo chake kinahusiana na kifo cha Pac. Hussein Fatal alikufa mwaka 2015 kwa ajali ya gari. Members wengine wote bado wako hai

Uongo no. 4
Mmoja wa Outlawz alitoroka US na kuja kuishi Arusha

- Hakuna member wa Outlawz aliyewahi kutoroka US na kuja kuishi Arusha. Kama yupo basi tutajie jina lake na ulete ushahidi kwamba aliwahi kuishi Arusha. Cha ajabu kwenye post yako umesema Outlawz wote waliuawa kasoro Ustaadh (Mutah Beale), sasa huyo aliyetorokea Arusha ilikuwaje?
 
Hizi ni stori za vijiweni, chini ya mshelisheli...
 
Umejaribu kumjibu ila ntawasaidia sehemu mbili...kuhusu alietorokea arusha nadhani anamsema baba wa ubatizo wa 2pac ambae alikua member wa black panther
Geronimo pratt..huyu alifungwa na ikaja kugundulika baadae kafungwa kimakosa
Akalipwa ndio akahama marekani na kuja arusha akimfata mwanaharakati mwingine ambae alihamia arusha kuja kumfata nyerere miaka ya nyuma nyerere alipowaconvice...la pili
2pac kuna wakati alikua anahang na BLack mafia pia haitian Jack na kuna mmoja yule wa new york simkumbuki jina ambae alimset pia wakati flani pac akavamiwa pale quad studios...alikua mshkaji wa pdidy...hawa hawakua wazuri ndio maana pac aliwaacha
 
Back
Top Bottom