Tupac Shakur na Notorious B.I.G Marafiki waliogeuka maadui na Kuharibu Taswira ya Hip Hop Duniani

P didy yule ni mjanjamjanja wa kumake hela tu,sio mwana hiphop..hata chana yake enzi hzo ni ya kitozi tu,akamwambukiza choko mwenzie mase
Diddy Businessman yule,,, wakati anampatia B. I. G ameenda kurecord hit song yake ya Juicy,, kupewa beat,, B. I. G akamwambia mbona unanpa beat ya pop,, Diddy akamwambia ingiza vocol humo,,, ile ngoma kutoka ikaja kuwa moja ya hit song za B. I. G za muda wote,,,
 
P didy yule ni mjanjamjanja wa kumake hela tu,sio mwana hiphop..hata chana yake enzi hzo ni ya kitozi tu,akamwambukiza choko mwenzie mase
Mase alichezea bahati sana maana miaka ya 1998 kuendelea mpaka 2003 upepo ulimendea vyema sana aise leo hii tungeka tunaongea mengine ila ndiyo basi tena game imebadilika now.
 
Duh!!!! Heshima yako,hivi tape za naughty by nature mlikuwa mnazipataje kipindi kile wakati kulikuwa hamna internet
Kulikuwa na maduka wanauza Casette na Santuri, wengine walikuwa wanaletewa kutoka mbele. Those tymz life was so sweet ingawa nilikuwaga bado kadogo sana ila vurugu nilikuwa naziona kwa mabrother mtaani
 
Duuu,bila shaka zilikuwa bei ghali kidogo
 
Mo money mo problems na notorious thugs - biggie
 
unajua nini .hizi team azikuanza sasa na ndizo zina weza kuwachonganisha
 
Kesho ndio leo mkuu,dondosha madini kiongozi
 
Mimi nlikuwa namtegemea sana bro akirudi toka mamtoni,lakini pia videos nyingi tulikuwa tuna record toka channel O.albums nyingine madukani au studios, but nlikuwa pia nafika South Afrika narud na cassetes kibao kuja kusikiliza na wana maskani

Duh!!!! Heshima yako,hivi tape za naughty by nature mlikuwa mnazipataje kipindi kile wakati kulikuwa hamna internet
 
Chemsha bongo kabla hujapagawa, hard blasters, weusi wagumu asilia, gwm, vibao kama hoya msela hoya.... Mpaka nmeanza kusahau...

Mkuu umenikumbusha mbali sana saleh jabir, Kwanza Unit ,HBC
 
P didy yule ni mjanjamjanja wa kumake hela tu,sio mwana hiphop..hata chana yake enzi hzo ni ya kitozi tu,akamwambukiza choko mwenzie mase
Sure.... Jamaa ni mjanja mnjanja sana na inasemekana yeye ndo alishadadia sana beef na tupac biggie wanasema hakuhusika sana... Ila pdiddy alikuwa anashadadia kwa yule bwana mdogo ambaye alikuja mshoot tupac hasa baada ya pambano la ngumi then tupac na watu wake wakampa kichapo bwana mdogo ambaye ali mind..
 
Pale nahisi FBI walihusika..kuogopa nguvu ya black..japo sasa hiphop ndo mziki unaotawala dunia
 
Pale nahisi FBI walihusika..kuogopa nguvu ya black..japo sasa hiphop ndo mziki unaotawala dunia
Ya mimi hisia zangu 100% kuwa ilikuwa ni goverment operations kwa wote big and pac na ndio maana hakuna aliyekamatwa maana ilikiwa Kazi yao.
 
Mimi nlikuwa namtegemea sana bro akirudi toka mamtoni,lakini pia videos nyingi tulikuwa tuna record toka channel O.albums nyingine madukani au studios, but nlikuwa pia nafika South Afrika narud na cassetes kibao kuja kusikiliza na wana maskani
Channel O mlirecord kwa kamera auu
 
VHS au wewe hukuwah zikuta Video Cassette ? ilikuwa rahisi sana...sisi ndo tumetumia hizo tena unaweza record ukafuta ukarecord tena ukafuta ukarecord...mara nyingi si kama cd zilipokuja kabla ya zile re -writable. so ilikuwa tunacheck channel o huku tuna record kwa ajili ya ku play later....nakumbuka mpaka miaka ya early 2000s tulikuwa tunazo video cassette nyingi sana. nimeziandika channel o aina mbali mbali kuna za hip hop na rnb enzi hizo za SWV,Case,112, Keith sweet n.k

Channel O mlirecord kwa kamera auu
 
shida kubwa haikuwa sana kwenye kuuzima muziki. ila uhuni uliokuwa unaambatana na ule muziki wa HIP HOP hasa baada ya kuundwa yale makundi ya East Coast na West Coast ( kuna vijana walijaribu na hapa Bongo kutengeneza beef za kipuuzi kama hizo kwenye music) yale makundi yalikuwa ya wana hipo hop lakini yanaambatana na uhuni mwingi sana.madawa ya kulevya, u gangster n.k kupigana risasi na kila aina ya uovu.... so ingewezekana pia kama nao waliona imekuwa issue.ila aliyekuja kumuua Tupac alihisiwa .....
Pale nahisi FBI walihusika..kuogopa nguvu ya black..japo sasa hiphop ndo mziki unaotawala dunia
 
Ila gudume kwa uzoefu wako unaonaje mizuka ya kipindi kile na sasa,mi naona hiphop zamani ndo ilikua on fire japo kina krs one,mop,DJ premier wanatoa albums kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…