Tupac Shakur na Notorious B.I.G Marafiki waliogeuka maadui na Kuharibu Taswira ya Hip Hop Duniani

Tupac Shakur na Notorious B.I.G Marafiki waliogeuka maadui na Kuharibu Taswira ya Hip Hop Duniani

hip hop is dying.... somebody should rescue it..akina dmx wameshaacha music wa dunia.amemrudia Mungu... kuna watu walikuwa wanaishi hip hop ..not now.
Ila gudume kwa uzoefu wako unaonaje mizuka ya kipindi kile na sasa,mi naona hiphop zamani ndo ilikua on fire japo kina krs one,mop,DJ premier wanatoa albums kila siku
 
sikiliza hii kitu ya BIGGIE inaitwa Big Poppa


na huu wimbo wa Hypnotize

amini nakwambia na nina uhakika si mimi tu wengi pia hatuzijui ngoma za b.i.g zaidi ya kumsikia tu kua alikuwa na bifu na makaveli
 
Mimi nlikuwa namtegemea sana bro akirudi toka mamtoni,lakini pia videos nyingi tulikuwa tuna record toka channel O.albums nyingine madukani au studios, but nlikuwa pia nafika South Afrika narud na cassetes kibao kuja kusikiliza na wana maskani
[emoji16] [emoji16] [emoji16] gudume tatizo mzaha mwingi,
 
haya mambo huwa napenda fatilia sanaa, ila nakuona kama chumvi nyingi[emoji16]
 
Back
Top Bottom