Tupac Shakur na Notorious B.I.G Marafiki waliogeuka maadui na Kuharibu Taswira ya Hip Hop Duniani

Kwa nyimbo zake.... si kwa sura. actually siku hizi niliacha saa kusikiliza hip hop kwa kiasi kikubwa. ukiacha watu kama akina Fid Q n.k
Mtafute YouTube kwa nyimbo inaitwa pesa kwanza I hope utakubali kazi yake
 
noma sana aiseeee
 
snoop ana sehemu yake... but sikutaka sana kumzungumzia snoop ambaye Tupac pia alikuwa anamwona kama ni mtu mmoja ambaye anaaminika.
hii bifu naona hujamuongelea mzee snoop
 
Dah mwanangu umetisha sana bro. me mnazi mmojawapo wa hip hop tangu kale ..

Kwa history nzuri ya Pac Na Biggie nmeelewa mambo mingi sana nyuma ya pazia.

People kama suge night, Nate dog na wengine wengi kumbe ni wa kale sana...
 
fanya kumgusia na snoop kidogo, maana snoop aliwai kuongea kuwa 2pac aliuwawa na rafiki zake, ila hakutaja ni nani muuaji, snoop alikuwa karibu sana na pac, lakini baadaee akawa pembeni sana sugar, embu gusia kidogo hapo
 
Ukimaliza utushushie na maiko jackson na bob marley
 
sure wapo kwenye game kitambo sana.

Dah mwanangu umetisha sana bro. me mnazi mmojawapo wa hip hop tangu kale ..

Kwa history nzuri ya Pac Na Biggie nmeelewa mambo mingi sana nyuma ya pazia.

People kama suge night, Nate dog na wengine wengi kumbe ni wa kale sana...
 
snoop mwishon hakuwa akiaminika sana na tupac sababu yeye hakuonesha ku side naye. kuna tetesi kuwa tupac aliuawa na suge kwa maana ya kuwa watu waliotumwa na suge knight sababu inaonekana kama tupac alitaka kuondoka kwenye label ya suge.. so akaona ni bora kumwondoa.. kuna conspiracy nyingi sana kuhusu hili.
fanya kumgusia na snoop kidogo, maana snoop aliwai kuongea kuwa 2pac aliuwawa na rafiki zake, ila hakutaja ni nani muuaji, snoop alikuwa karibu sana na pac, lakini baadaee akawa pembeni sana sugar, embu gusia kidogo hapo
 
Nakumbuka miaka ya 92 kulikuwa na rapa flani hivi simkumbuki jina alikuja arusha huku!
Akiwa juu steji anaimbisha watu huku akisema ARUSHA SI HECHI DABO OO!
watu wanajibu ARUSHA SI HECHI DABO OOO!
hakuna alielewa maana yake sababu watu walikuwa mafala kipindi hicho.kumbe si hechi dabo oo maana yake ni CHOO!!
kuna jamaa akatonywa kwamba wanachuga tunaitwa CHOO basi masela wakaitana acha wampasue jamaa hadi akaflet!wakaona haitoshi wakamuinua kikwapa wakamuunguza na kibiriti cha mafuta taa!yaani mambo ya zamani yalikuwa ya kibabe sana
 
Mase alichezea bahati sana maana miaka ya 1998 kuendelea mpaka 2003 upepo ulimendea vyema sana aise leo hii tungeka tunaongea mengine ila ndiyo basi tena game imebadilika now.
Kama sipo sahihi nisahihishe, huyo jamaa ndiyo aliyeimba....welcome back..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…