Tupac Shakur na Notorious B.I.G Marafiki waliogeuka maadui na Kuharibu Taswira ya Hip Hop Duniani

Pale nahisi FBI walihusika..kuogopa nguvu ya black..japo sasa hiphop ndo mziki unaotawala dunia
Upo sahihi bro, kwa sababu 2pac alikuwa na hasira na system ndiyo maana wakamzushia kesi nyiiiingi ila ushahidi ukawa ziro.
 
Aaam! Aaam....ngoja nijaribu


Nakamata simu naufungua, Uzi wa Gudume boy ambaye wote tunamjua
Kwa magwiji wawili ambao hip hop zone waliitusuua
Ingawa rest in peace ila kwa leo tunawafufua,...yeah
Brother big na PAC tunawasimulia, japo ni bad boys hope jannah wataingia

Midundo mingi inanizunguka kwenye kichwa, maneno ntakayo andika milele hayatofutika
Si hadithi za kusadikika, ni maendeleo ya uhusika
moshi hewani yah bro japo sipo jamaica
free smile naziachia kama nimemuona malaika...yooo

Misingi thabiti haifichiki haugusiki haitishiki
Sina urafiki na wanafiki, nipo wima na sitishiki na sihitaji mashabiki, mashauzi yaweke pembeni
kwa hizi rhymes sihitaji kiki

Yajayo yanafurahisha ndo kauli ya nowadays
Mbinu kibao za kimashairi ka electronics kwa Faraday's
Shout out kwa Gudume boy, kwa story ni sensei
No hofu feelings na sexual healing kwa dream za Marvin gaye
Si crunk beat za lil john au zile za hey baby eeeh
Hammaz boy yeah, nigga stay out of my way

Natamba kwa kwa kila se'em
Kwa free style sikosei
At the end of the rhymes, just remember my name....HAMMAZ
 

labda Biggie aliishajua kuwa Tupac kamla mkewe, so bifu likaanzia hapo

haya mengine sio kivile

"eti tupack akiwa segerea"

uko vizuri mkuu

enjoyed this ......
 


Orlando Babelane Anderson
 
Miaka ikazidi enda rudi uzi wa bifu la 2pac na big haujaptkna

Ila kwa upeo wangu mdogo inasemekana siasa iliingilia ikazidisha beef lao
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Inachekesha
 
Kwamba Big na Pac waliharibu taswira ya Hiphop?
Hiphop ilikuwa na taswira gani kwani mwanzo?
Kutoka run DMC
To NWA ya kina Eazy, Dre ?
Gangsta rap ( Hiphop ) ulikuwa mziki wa wahuni underground, mpaka 92 dre na the chronic... walau ndio ukaingia mainstream.
 
Gudume itakuwa corona ilipita nae kapotea kitambo
 
Biggie hakuwa na baya na Pac sema Kuna mpumbavu na mbinafsi alikuwa katikati yao ,akawagombanisha kwa faida yake.Alikuwa ana mtumia Pac ili kuidhoofisha Bad boys.Huyo mtu ni Suge Knight.Alifanya juu chini kumpata Pac na akafanya kumtumia Pac ili kuidhoofisha Bad boys.All in all naye karma ilimshughulimia.Hivi Leo yuko ananyea debe baada ya kusababisha kifo cha raia mmoja kwa ajali ya gari ya kukusudia.Jamaa ni ntu wa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…