Tupambanie familia zetu, siasa ni biashara za watu

Expectation is often the root of heartbreak. Guard your heart and be cautious about placing your complete trust in anyone.
Vybz kartel - Mi no trust people..

Jamaa anakuambia "mi no shopkeeper, so mi no trust man" kazi ya kuami watu mwachie Mangi na duka lake.
 

Attachments

Mimi Nina Imani kubwa sana na Rais Samia na serikali yake na ninaamini ndiye Kiongozi sahihi wa kuendelea kutuvusha Watanzania.
Angalau raisi Samia ana legacy ya kumalizia miradi iliyoachwa na mtangulizi wake, na pia anaonekana kuianzisha na kuisimamia vyema miradi aliyoianzisha yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…