Tupate Katiba Mpya kabla ya uchaguzi 2025 ili waliojenga madarasa hewa kwa trilioni 1.3 waburutwe mahakamani

Tupate Katiba Mpya kabla ya uchaguzi 2025 ili waliojenga madarasa hewa kwa trilioni 1.3 waburutwe mahakamani

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Nimefurahi sana kusikia soon tutapata katiba mpya. Hii ina maanisha tutakuwa na katiba ambayo itatupa mamlaka wanananchi.

Kwa katiba hii kama itasikia maoni ya wananchi basi tutakuwa na katiba ambayo itwajibisha wananchi.

Tutakuwa na katiba ambayo rais na mawaziri wakizingua kwa ubadhirifu tunawapandisha kizimbani.

Hivyo basi tuipate kabla ya uchaguzi wa 2025 ili wana CCM wote waliokula pesa za tozo na tril 1.3 za foreign reserve waburutwe kortini na kufungwa.

Watoto wanakaa chini na kusoma kwenye vumbi huku wanaCCM wanakula pilau na kuku
 
Back
Top Bottom