Video ipi?Hii ni somo fupi iliyoambata na mifano halisi juu ya sheria namba 11 (kuhusu offside).
Ni moja ya sheria inayowapa shida watu wengi sana kuitafsiri. Mfano kwenye mechi ya Yanga vs Mwadui kuna watu wanasema ile ni offside na wengine wanasema ni goli halali. Ukipitia hii video itakupa mwanga mkubwa sana juu ya sheria hii
iko vzr. naipataje hii? nataka niipakue ili niwe nayo kwenye simu.Hii ni somo fupi iliyoambata na mifano halisi juu ya sheria namba 11 (kuhusu offside).